Nyalandu achunguzwe kwa uhujumu uchumi kipindi chake cha uwaziri

Kwa hiyo ndio mmegundua leo uhujumu uchumi wa maliasili za taifa ulitokea wakati wa Nyalandu na sio kipindi kingine chochote? Kwamba uhujumu uchumi uliowahi kutokea Tanzania ni katika maliasili tu tena wakati Nyalandu akiwa waziri na sio katika sekta au eneo lingine lolote wala katika kipindi kingine chochote katika Tanzania? Ndugu, hizo aina ya siasa mnazotamani kuzipandikiza nchi hii ni hatari sana kuliko bomu la hydrogen.
Of course, mleta mada amegundua sasa kwa sababu ndicho kipindi ambacho Lazaro Nyalandu ameenda Kenya kumjulia hali Tundu Lissu!! Mbaya zaidi, imeripotiwa hivi punde kwamba ni Nyalandu huyo huyo anawasiliana na wafadhili wake ili kuwezesha safari ya Tundu Lissu kupelekwa US!
 
Hahahahahahaaaaa.

Msaliti kashajulikana.

Mbunge wangu Nyalandu fanya unachokiamini acha kuheshimu msafara wa ving'ora.

Get well soon Lisu
 
Habari wanajamvini, tunaomba mh Rais Magufuli akimaliza kwenye madini arudi kwenye maliasili kwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza waliotufikisha hapa kwenye upande wa maliasili.

Watanzania hatujasahau jinsi gani twiga alivyopandishwa ndege. Watanzania bado hatujamsahau yule waziri aliyefanya ufisadi na kutumia pesa ya nchi na mastaa wa bongo movie.

Watanzania tunaomba Rais wetu kipenzi Dr. Magufuli achunguze nani aliyetufikisha hapa kwenye maliasili pamoja na waziri Nyalandu awajibishwe kwa uzembe na uhujumu uchumi alioufanya kipindi chake cha uwaziri.

Tuanze na wizara ya ujenzi, barabara zilizojengwa chini ya viwango, kuminywa kwa upana wa barabara. Ununuzi wa kivuko kibovu.
 
Wala sio povu mkuu ni kusaidiana na pia tunaomba na yule aliyehusika kwenye ufisadi wa uuzaji wa nyumba za serikali pia achunguzwe.Yaani tusiache jiwe juu ya jiwe katika vita hii ya wahujumu uchumi.
Bila kusahau yule aliyetutia hasara kwenye samaki wa wachina na kituo cha mafuta pale mwanza,wote wachunguzwe.
Kwani kuuza nyumba kulikuwa Na tatizo? Pia meli ya samaki bado kesi haijaisha katika inshu ya Mwanza taratibu zote za kisheria zifuatwa sema wewe unawasikiliza wahuni wenzio chadomo
 
Habari wanajamvini, tunaomba mh Rais Magufuli akimaliza kwenye madini arudi kwenye maliasili kwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza waliotufikisha hapa kwenye upande wa maliasili.

Watanzania hatujasahau jinsi gani twiga alivyopandishwa ndege. Watanzania bado hatujamsahau yule waziri aliyefanya ufisadi na kutumia pesa ya nchi na mastaa wa bongo movie.

Watanzania tunaomba Rais wetu kipenzi Dr. Magufuli achunguze nani aliyetufikisha hapa kwenye maliasili pamoja na waziri Nyalandu awajibishwe kwa uzembe na uhujumu uchumi alioufanya kipindi chake cha uwaziri.
We zezeta unaangaika sana ,,,ivi anakujua nani wewe zuzu ndani ya CCM
 
Kwa hiyo ndio mmegundua leo uhujumu uchumi wa maliasili za taifa ulitokea wakati wa Nyalandu na sio kipindi kingine chochote? Kwamba uhujumu uchumi uliowahi kutokea Tanzania ni katika maliasili tu tena wakati Nyalandu akiwa waziri na sio katika sekta au eneo lingine lolote wala katika kipindi kingine chochote katika Tanzania? Ndugu, hizo aina ya siasa mnazotamani kuzipandikiza nchi hii ni hatari sana kuliko bomu la hydrogen.
Hayo mambo yamekwisha kuwa zilipendwa zamani ukiwa mpinzani tu unasingiziwa sio RAIA
 
Habari wanajamvini, tunaomba mh Rais Magufuli akimaliza kwenye madini arudi kwenye maliasili kwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza waliotufikisha hapa kwenye upande wa maliasili.

Watanzania hatujasahau jinsi gani twiga alivyopandishwa ndege. Watanzania bado hatujamsahau yule waziri aliyefanya ufisadi na kutumia pesa ya nchi na mastaa wa bongo movie.

Watanzania tunaomba Rais wetu kipenzi Dr. Magufuli achunguze nani aliyetufikisha hapa kwenye maliasili pamoja na waziri Nyalandu awajibishwe kwa uzembe na uhujumu uchumi alioufanya kipindi chake cha uwaziri.

loh! sasa ghafla huyo bwana milandu kawa adui yako? hivi siku juma pondamali akisema kitu kibaya dhidi ya kijani utakuwa upande wa juma ponda mali au upande wa kijani?
 
Nyalandu wala hahitaji uchunguzi,nyaraka zipo wazi kabisa alikua anapiga mpaka dola laki 5 kwa kitalu kimoja tu cha uwindaji.
 
Habari wanajamvini, tunaomba mh Rais Magufuli akimaliza kwenye madini arudi kwenye maliasili kwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza waliotufikisha hapa kwenye upande wa maliasili.

Watanzania hatujasahau jinsi gani twiga alivyopandishwa ndege. Watanzania bado hatujamsahau yule waziri aliyefanya ufisadi na kutumia pesa ya nchi na mastaa wa bongo movie.

Watanzania tunaomba Rais wetu kipenzi Dr. Magufuli achunguze nani aliyetufikisha hapa kwenye maliasili pamoja na waziri Nyalandu awajibishwe kwa uzembe na uhujumu uchumi alioufanya kipindi chake cha uwaziri.
Huu ni uwenzawazimu wa kisiasa. Mlikaa kimya hadi Nyalandu alipowapa darasa kuwa utu hauangalii tofauti za kiitikadi.
 
Habari wanajamvini, tunaomba mh Rais Magufuli akimaliza kwenye madini arudi kwenye maliasili kwa kuunda tume maalumu ya kuchunguza waliotufikisha hapa kwenye upande wa maliasili.

Watanzania hatujasahau jinsi gani twiga alivyopandishwa ndege. Watanzania bado hatujamsahau yule waziri aliyefanya ufisadi na kutumia pesa ya nchi na mastaa wa bongo movie.

Watanzania tunaomba Rais wetu kipenzi Dr. Magufuli achunguze nani aliyetufikisha hapa kwenye maliasili pamoja na waziri Nyalandu awajibishwe kwa uzembe na uhujumu uchumi alioufanya kipindi chake cha uwaziri.
Kuna watu mna roho mbaya zaidi ya kunguni huyu Nyalandu kwenda kumsalimia Tundu Lisssu na kujaribu kumtafutia matibabu Marekani imekuwa ni kosa. Watanzania tusifike huko mnapofikiria haya mambo ya siasa yatapita lakini watanzania tutaendelea kuwepo. Tuchukue mfano wa Somalia wanaongea lugha moja wana dini moja na mila moja lakini kwa miaka Zaidi ya 25 wanapigana wao kwa wao. Amani ni tunu Muhimu Mwenyezi Mungu ametupa. Serikali ifanye biddii kuwapata hawa waliomshambulia Tundu Lisssu nina imani na IGP Sirro kama uliweza Kumaliza tatizo la kibiti hutashindwa kuwapata hawa wauuaji.
 
Yoote hii ni kwa sababu ya kufanya safari ya masaa machache tu Nairobi!?
Basi mchunguzeni lakini mkimaliza fuatilieni pia nyumba za serikali.
 
mashetani mnaendelea kujidhihirisha tu mlitaka lissu afe mtakufa nyie
tupeni list ya wasafi uko ccn
 
Back
Top Bottom