Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1

Mimi nashangaa sana, hawa jamaa hawasomi alama za nyakati...
I am really tired of them... pheeew!!
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?

Watanzania hatutaki njia tunataka jibu kwamba kukaa gizani hatujazoea hadithi njoo utamu kolea muda huo hatuna
 
wanawewseka kila mtu anaongea kivyake.mwisho wa mwaka hakun lililofanyika.Wajanja wanawachomekea hoja wanashidwa kufanyaka wanakimbilia kujibu hoja.
 
Bulunga!
Wewe ni great thinker, kwa nini unauliza maswali yanayo paswa kuulizwa na vijana ambao hawajaenda shule? hivi watu wote humu nchini walizaliwa baada ya uhuru? hivi unataka kusema waafrika walikua hawawezi kufikiri kabla ya uhuru? unajua kufikiri hivyo ni kujidhalilisha kama mwafrika? hivi wanataaluma tumeifania nini nchi hii baada ya uhuru kama ndivyo unavyofikiri? wazee wetu pamoja na elimu ndogo waliyo kuwa nayo walimtoa mkoloni ili tujitawale katika nyanja zote za ustawi wa jamii, ikiwemo maendeleo ya elimu na teknolojia. leo ni ni maneno tu kila kukicha tunauliza miaka hamsini CCM imefanya nini!! Umeme its about technology ambayo sijui how strong we are on this. Tatizo la umeme linakua siku hadi siku kwani nini ma Electrical Engineers wasiseme au ku propose njia mbadala ofcourse si nuclear power pamoja na uranium kuwepo ya kutosha, maana kwa kama hatuwezi ku-manage hydro power, the only option we have ni huo wa upepo! sasa hapo jamaa kakosea nini kutoa taarifa hiyo. na kama alivyo sema turbine/generator haipo sokoni kwamba inanunuliwa lazima ianze kujengwa baada ya makubaliano na NDC tatizo liko wapi? Kuhusu madini again ni sisi wasomi tumeshindwa kulisaidia taifa! hatuna utaalam wa kuosha ku-negotiate na kuingia mikataba yenye akili na tija kwa taifa letu matokeo yake wasomi tunauliza maswali ambayo vijana wa mtaani wanajiuliza wakiwa vijiweni ila wao ni haki yao kuuliza inakera kama watu wanaojiita great thinkers wanauliza the same questions!

Ability without opportunity is useless! wanasiasa ndio wanaofanya maamuzi katika nchi hii. Other wise unapoteza nafasi yako ukishauri utaalam. Unakumbuka El akitaka kujenga kiwanda cha magadi L natron, wataalam wakashauri other wise. Alisema taka msitake Kitajengwa tu. Siasa!
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?

hizi hadithi zao tumeshazisikia sana, we are no longer interested, wakati hatuna umeme kila siku kuna mtu anataka kujua tuna tani ngapi za makaa ya mawe?
 
Hiki chama utadhani kimelaaniwa! na alokilaani ameshakufa!!

Its time for change... Tumechoka kuona utajiri wetu wa mali asili ili hali tunataabika kwa kila kitu.
 
Bulunga!
Wewe ni great thinker, kwa nini unauliza maswali yanayo paswa kuulizwa na vijana ambao hawajaenda shule? hivi watu wote humu nchini walizaliwa baada ya uhuru? hivi unataka kusema waafrika walikua hawawezi kufikiri kabla ya uhuru? unajua kufikiri hivyo ni kujidhalilisha kama mwafrika? hivi wanataaluma tumeifania nini nchi hii baada ya uhuru kama ndivyo unavyofikiri? wazee wetu pamoja na elimu ndogo waliyo kuwa nayo walimtoa mkoloni ili tujitawale katika nyanja zote za ustawi wa jamii, ikiwemo maendeleo ya elimu na teknolojia. leo ni ni maneno tu kila kukicha tunauliza miaka hamsini CCM imefanya nini!! Umeme its about technology ambayo sijui how strong we are on this. Tatizo la umeme linakua siku hadi siku kwani nini ma Electrical Engineers wasiseme au ku propose njia mbadala ofcourse si nuclear power pamoja na uranium kuwepo ya kutosha, maana kwa kama hatuwezi ku-manage hydro power, the only option we have ni huo wa upepo! sasa hapo jamaa kakosea nini kutoa taarifa hiyo. na kama alivyo sema turbine/generator haipo sokoni kwamba inanunuliwa lazima ianze kujengwa baada ya makubaliano na NDC tatizo liko wapi? Kuhusu madini again ni sisi wasomi tumeshindwa kulisaidia taifa! hatuna utaalam wa kuosha ku-negotiate na kuingia mikataba yenye akili na tija kwa taifa letu matokeo yake wasomi tunauliza maswali ambayo vijana wa mtaani wanajiuliza wakiwa vijiweni ila wao ni haki yao kuuliza inakera kama watu wanaojiita great thinkers wanauliza the same questions!

Duh kuna mengi ya kujibu ngoja nijaribu,

1. Si kweli kuwa wantaaluma hawajafanya kitu nchi hii, walioharibu nchi hii ni MAFISADI na ukizungumzia UFISADI makao makuu ni CCM nadhani unajua hilo.

2. Miaka 50 na CCM, Inamaana huoni kuwa kuna la kuuliza hapo? Uganda, rwanda, Kenya wanateknologia gani mpaka wajitosheleze? Mtera, hale, pangani vilijengwa kwa technologioa gani mpaka tushindwe ule mradi wa RUFUJI wenye zaidi ya 3000MW?

3. Njia ipi mbadala unataka ndugu yetu kilakitu kipo kwenye makabati hapo wizarani na vipo wazi kwanini hawtekelezi? huoni kuwa ni kutokuwepo kwa utashi wa CCM kutaka kutekeleza hayo ndio kumetufikisha hapa?

4. Hatuhitaji nuclear power na ukweli ni kwamba hatuna sababu ya kuchimba Uraniaum na madni mengine yeyote hata dhahabu hakuna sababu kwa kuwa hatuwezi kuisisimamia ni bora tungeacha tujikite kwenye mabo mengine. Mfano Kilimo.

5. Eti hatuwezi kumanage hydro power kwa upeo wako unaamini hili? ni kwanini hatukushindwa kabla ya 1995 na tunashindwa kuanzia hapo? huoni kuwa ni makusudi tu ya wanasiasa?

6. Swala la upepo sio la porojo lipo siku nyingi nalinajulikana hatuhitaji kutangaziwa tunahitaji kuona turbine singida zikizunguka na sio porojo, hili sio jambo lilogunduliwa jana ni la kitambo lipo lakini hakuna utashi wa kutekeleza hilo.

7. Eti kunegotiate hatuwezi kweli na wewe unaamini hili? hujuhi kuwa ni wanasiasa ndio huwa wanaenda kusaini mikataba huko mahotelini ulaya bila kuwashirikisha wataalamu na mikataba hiyo huwa imeandaliwa na wanaojiita wawekezaji?

KUMBUKA:
aliyetufikisha hapa ni Jayaka Mrisho Kikwete akiwa kama waziri wa nisharti na madini ndiye alkiye ingiza IPTL na kuanzisha mambo ya capacity charge ambayo hayjawahi kuwepo, pia ndiye aliyemba haki ya kumiliki Ardhi yote yenye madini nchi hii mtu anayeitwa SINCLAR, nadhani unamjua mzungu huyo kuwa hakuna hana hatki miliki ya leseni zote za madini nchi hii!
 
Wadau mnakumbuka wakati Marekani wanavamia IRAQ? Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa ALSAHAFU nazani hili jina Linamfaa sana. ALSAHAF alikuwa mwongo kweli mpaka marekani wanakaribia kuingia Bagdad yeye ana endelea kusema kwamba '' MAJESHI YETU YAMESHAMSAMBARATISHA ADUI NA BADO YANA SONGA MBELE NA MKAKATI NI KUMTOKOMOZA KABISA ADUI NA VIFARU VYAKE!!!'' hiki kilikuwa kichekesho sana. Nusura afie Bagdad kama ni kutorokea Syria!!
 
Huu mfano unamfaa kwa kuwa nchi sasa hivi imeoza yeye Nyalandu anatoa ahadi tamtamu tu!
 
...I know it was just a slip of the finger and the word should be KUMTOKOMEZA, but I liked your version anyway...!! :lol:
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?
Mkuu dhambi ni hizi
Amerukia agenda ya umeme, kwa sasa ndio hot na anatafuta umaarufu kwa mbinu za kuwafanya wenzake wote hawajui... angefocus na treatment ya ahadism disease aliyonayo na arudi pale kariakoo awaambie hajapona
Anatoa kauli zilezile za tutafanya, bila kukubali kwamba CCm haiko makini kwani anayosema yalihitaji kutatuliwa miaka zaidi ya 30 iliyopita
anatuambia kuhusu upepo na jua kama vile sisi hatukusoma jiografia, hebu alete hizo research zilifanywa na nani... tukumbuke kuna marketers wa investors, wanaweza kuweka chochote kwenye powerpoint kukuvutia, kama tunavyotongoza mabibi vile na kuwasifia kuliko wanawake wote
Ni mcharuko... hii ndio dhambi kuu, anadhani sisi wote ni wajinga na yeye ana akili zaidi yetu by giving data/stories in a way thinking he is giving us surprises and thinks we dont

since you are one of him, mwabie hivi === tell us something we dont, of zip-up and do the job you are supposed to do

Hanunui urembo wala kauli kauzu
 
TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .serikali ya Jk,ndivyo ilivyo,tunajivunia utajiri ambao hautusaidii,tumeanza,tuko,bado kidogo ndiyo kauli za Ccm,tusitegemee lolote hapo,dawa ni KUWAONDOA,
 
Duh kuna mengi ya kujibu ngoja nijaribu,

1. Si kweli kuwa wantaaluma hawajafanya kitu nchi hii, walioharibu nchi hii ni MAFISADI na ukizungumzia UFISADI makao makuu ni CCM nadhani unajua hilo.

2. Miaka 50 na CCM, Inamaana huoni kuwa kuna la kuuliza hapo? Uganda, rwanda, Kenya wanateknologia gani mpaka wajitosheleze? Mtera, hale, pangani vilijengwa kwa technologioa gani mpaka tushindwe ule mradi wa RUFUJI wenye zaidi ya 3000MW?

3. Njia ipi mbadala unataka ndugu yetu kilakitu kipo kwenye makabati hapo wizarani na vipo wazi kwanini hawtekelezi? huoni kuwa ni kutokuwepo kwa utashi wa CCM kutaka kutekeleza hayo ndio kumetufikisha hapa?

4. Hatuhitaji nuclear power na ukweli ni kwamba hatuna sababu ya kuchimba Uraniaum na madni mengine yeyote hata dhahabu hakuna sababu kwa kuwa hatuwezi kuisisimamia ni bora tungeacha tujikite kwenye mabo mengine. Mfano Kilimo.

5. Eti hatuwezi kumanage hydro power kwa upeo wako unaamini hili? ni kwanini hatukushindwa kabla ya 1995 na tunashindwa kuanzia hapo? huoni kuwa ni makusudi tu ya wanasiasa?

6. Swala la upepo sio la porojo lipo siku nyingi nalinajulikana hatuhitaji kutangaziwa tunahitaji kuona turbine singida zikizunguka na sio porojo, hili sio jambo lilogunduliwa jana ni la kitambo lipo lakini hakuna utashi wa kutekeleza hilo.

7. Eti kunegotiate hatuwezi kweli na wewe unaamini hili? hujuhi kuwa ni wanasiasa ndio huwa wanaenda kusaini mikataba huko mahotelini ulaya bila kuwashirikisha wataalamu na mikataba hiyo huwa imeandaliwa na wanaojiita wawekezaji?

KUMBUKA:
aliyetufikisha hapa ni Jayaka Mrisho Kikwete akiwa kama waziri wa nisharti na madini ndiye alkiye ingiza IPTL na kuanzisha mambo ya capacity charge ambayo hayjawahi kuwepo, pia ndiye aliyemba haki ya kumiliki Ardhi yote yenye madini nchi hii mtu anayeitwa SINCLAR, nadhani unamjua mzungu huyo kuwa hakuna hana hatki miliki ya leseni zote za madini nchi hii!

Duh Kibanga Ampiga MKoloni!
Hapa inabidi nirudishe majeshi nyuma. You have said it all and I salute you! and as a gentleman i congratulate you for the fair pricise arguments. Thanx.
 
Kwa mwendo huu tuna safari ndeefu sana. Kwani mpaka leo kuna mtanzania ambaye hajui kuwa tuna jua zuri saaaana la kuzalisha umeme au tuna makaa ya mawe mengi saana kule kiwila na kama ni nchi ya pili kwa kuzalisha umeme duniani mbona ni nchi ya kwanza kwa kukaa gizani??.

Porojo hazijengi nchi ila mipango thabiti, kufanyakazi kwa nguvu zote na uwajibikaji hizi ndio nguzo za kujenga uchumi imara.

Tunahitaji utekelezaji wa sera nzuuuri walizonazo kwenye makabati na si maneno ambayo hayana tija.
 
huyu jamaa hayuko serious hata kidogo..nakumbuka kwenye bunge lililopita alitumia muda mrefu kutoa salamu za valentine kwa mke wake(miss tz faraja kota) badala ya kudiscuss ishu za msingi..
 
Wadau mnakumbuka wakati Marekani wanavamia IRAQ? Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa ALSAHAFU nazani hili jina Linamfaa sana. ALSAHAF alikuwa mwongo kweli mpaka marekani wanakaribia kuingia Bagdad yeye ana endelea kusema kwamba '' MAJESHI YETU YAMESHAMSAMBARATISHA ADUI NA BADO YANA SONGA MBELE NA MKAKATI NI KUMTOKOMOZA KABISA ADUI NA VIFARU VYAKE!!!'' hiki kilikuwa kichekesho sana. Nusura afie Bagdad kama ni kutorokea Syria!!

hahahahaaa hutu Lazaro Nyalandu anafaa sana kuitwa ALSAHAF
 
tbc1 kuna naibu waziri lazaro nyarando kama kawaida ya ccm anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia jua la tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa ccm wana akili kweli? Yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! Kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu lazaro mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo tbc1

wanajipanga, tangu 2005 wanajipanga mpaka leo sijui watamaliza lini kujipanga na kuanza kufanya kazi. Tunajipanga, tumekaa vizuri ndio ma-story ya hawa wakubwa
 
Back
Top Bottom