Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania".. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, Mar 14, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hili ndo ***** kabisa ..yaani sitakagi hata kumsikiliza maana ni kiazi haswa
   
 3. czar

  czar JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halafu kuna watanzania kibao wamempigia kura huyo mnayemwita Kiazi sasa sijui nao viazi au maboga kabisa. Ila jamaa wanakera na mipango isiyoisha.
   
 4. NIKOSTRATOS

  NIKOSTRATOS Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaendesha wizara ka ukwata....Mwuza sura tu,by the way kiazi is a better description.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
  akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  huyo jamaa ni full mashauzi. angekuwa mwanamke sijui angekuwaje!
   
 7. KEBELO

  KEBELO Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa km nimemwelewa ishu ni utangazaji wa sera nyingiiii ambazo hatuoni utekelezaji wake jamaa ni Kiazi kweli Katoka China juzi Anataka Watanzania wajue nae yumo Tatizo la Viongozi wetu hawa ni sera tuuuuuu Hata waliomchagua huko Singida ni Viazi tuuu Singida ni miongon mwa mikoa iliyonyuma sanaaaaaaa nani asiyejua?Tuache unafiki
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa ni mmoja kati ya wapenda sifa hapa nchini.......juzi amenikera sana wakati analounch shahada mpya pale mlimani......anaongea ka kupenda sifa...
   
 9. b

  bulunga JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  50 yrs, of indepedence, hatuwezi hata ku plan na kutoa projections za maendeleo, hayo makaa ya mawe hayajagunduliwa mwaka juzi, huo upepo upo tu centuries, matatatizo ya umeme leo yana umri wa mtoto kuwa form one, Hata serengeti ni mbuga nzuri kuliko zote duniani lakini watalii na mapato yapo Masai mara yenye ukubwa wa 10%ya serengetia. hata Tanzanite inayopatikana pekee hapa kwetu, dhahabu ni wazalishaji wakubwa hapa Afrika baada ya Ghana na SA
  Lakini yote hayo yako wapi, CCM is not serious
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Ameshawatoa wamachinga wa kichina?
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,636
  Likes Received: 1,421
  Trophy Points: 280

  huu sio mda wa kujishaua runingani na kupiga soga zilizozoeleka wewe.. we have been through that stuff mpaka tumechoka.

  huu ni mda wa kuact na kuleta matokeo watu waone sio kuongea tu upumbavu.. huko nyumba tulishaambiwa majukwaani mgawo wa umeme hautatokea tena lakini hapa napoandika hii mail sina umeme...ushenzi to the maximum
   
 12. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tayari wako nyumbani kwake
   
 13. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Muda umefika tunawaambia ccm.."Stop Thinking start Doing.."
   
 14. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Matatizo ya Umeme yalianza mwaka 1992, yana umri wa kijana aliyemaliza Shule na kupiga Kura Mwaka Jana.
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kila nikiyawaza yote hayo afu na umaskini tulionao...jibu ni rahisi ccm is not serious..
  Kama wanavyojinasibu kuwa wamepewa nguvu ya umma mbona huo umma unateketea na umaskini,ujinga na maradhi, aanzeni basi kutenda lini mtaacha porojo???
  ,
   
 16. n

  nyantella JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Bulunga!
  Wewe ni great thinker, kwa nini unauliza maswali yanayo paswa kuulizwa na vijana ambao hawajaenda shule? hivi watu wote humu nchini walizaliwa baada ya uhuru? hivi unataka kusema waafrika walikua hawawezi kufikiri kabla ya uhuru? unajua kufikiri hivyo ni kujidhalilisha kama mwafrika? hivi wanataaluma tumeifania nini nchi hii baada ya uhuru kama ndivyo unavyofikiri? wazee wetu pamoja na elimu ndogo waliyo kuwa nayo walimtoa mkoloni ili tujitawale katika nyanja zote za ustawi wa jamii, ikiwemo maendeleo ya elimu na teknolojia. leo ni ni maneno tu kila kukicha tunauliza miaka hamsini CCM imefanya nini!! Umeme its about technology ambayo sijui how strong we are on this. Tatizo la umeme linakua siku hadi siku kwani nini ma Electrical Engineers wasiseme au ku propose njia mbadala ofcourse si nuclear power pamoja na uranium kuwepo ya kutosha, maana kwa kama hatuwezi ku-manage hydro power, the only option we have ni huo wa upepo! sasa hapo jamaa kakosea nini kutoa taarifa hiyo. na kama alivyo sema turbine/generator haipo sokoni kwamba inanunuliwa lazima ianze kujengwa baada ya makubaliano na NDC tatizo liko wapi? Kuhusu madini again ni sisi wasomi tumeshindwa kulisaidia taifa! hatuna utaalam wa kuosha ku-negotiate na kuingia mikataba yenye akili na tija kwa taifa letu matokeo yake wasomi tunauliza maswali ambayo vijana wa mtaani wanajiuliza wakiwa vijiweni ila wao ni haki yao kuuliza inakera kama watu wanaojiita great thinkers wanauliza the same questions!
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  we wil take our tanzania 4rm the vampire!
   
 18. Double X

  Double X Senior Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu nyalandu niseme ukweli mi namuona(ga) ka BWABWA vile.....!!!
   
 19. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani Nyarandu kama Nyarandu huenda watu hawana ugomvi nae. Tatizo hapa ambalo wengi linatusikitisha ni system hii ya uongozi wetu hasa huu wa ccm na serikali yake wa kupiga porojo zaidi kuliko vitendo. Msikilize "mtoto wa mkulima" kajaa hadithi nyingi za kusadikika. watu wanataka kusikia Mtukufu Rais wa URT kazindua ufuajia umeme kutumia upepo, makaa ya mawe, nuklia (kama nae anavyoahidi), kaweka jiwe la msingi Stiegler gorge nk. Tumechoka na lugha za TUTA, TUNGE, MSUKOSUKO WA UCHUMI DUNIANI, MIKAKATI (isioisha miaka 50 ya uhuru na hata waliotutawala wamesahau kama waliitawala nchi kama Tanganyika). Hapo tu Sangara nafikiri hata watoto wako ndani ya Lake Victoria watafurahi porojo za ghiribu zitakapokoma!!
   
 20. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  acha kuongeza porojo. Samahani lakini.
   
Loading...