NYAKATI MBILI ZA MUHIMU KUELEKEA KWENYE NDOTO YAKO

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Kila mtu huwa anapitia nyakati tofauti katika maisha yake anapoelekea kutimiza NDOTO zake alizochagua kuziishi, pamoja na utofauti huu Kuna nyakati ambazo ni lazima kila mmoja wetu azipitie, ukiweza kupita salama katika nyakati hizi basi uwezekano wa NDOTO yako kutimia unakua mkubwa sana, Kuna nyakati mbili ambazo ukipita salama Basi ujue ushindi wako unakaribia!

WAKATI WA KUIONA NDOTO YAKO INAKARIBIA KUSHINDIKANA.

Huu ni wakati ambao ile Ndoto ambayo ulizoea kuiamini na kuiona thabiti inawezekana, inakuwa Kama inaanza kufifia maishani mwako. Msaada ambao uliitegemea unaanza kupotea,walioahidi kukusaidia ni Kama wanabadilisha mawazo na kutokuwa tayari kukusaidia Tena kwa sababu mbalimbali wanazotoa!

Mara nyingi wakati huu ukifika huwa tunajiuliza maswali makubwa mawili,

1.NIENDELEE?
2.NISIENDELEE?

Hapa Jambo kubwa unalotakiwa kujikumbusha ni sababu gani iliyokufanya uanze kufuatilia hiyo Ndoto yako? Kumbuka kila mtu mwenye Ndoto kubwa maishani anapitia hali hi n auwezo wako wa kupita Salama hapa ndio kigezo kikubwa Cha kufanikiwa, ni kipindi ambacho wengine wanachoka na kuacha kuendelea kupambania Ndoto zao kubwa maishani, kumbuka ujasiri wako wa kuendelea mbele wakati wa nyakati Kama hizi za kukatisha tamaa ni ufunguo na mafanikio yako inawezekana endelea kupambana!

2.WAKATI AMBAO UNAUMIZWA NA WATU/HALI ZINAZOKUZUNGUKA.

Huu ni wakati mgumu zaidi, Kuna wakati ambao unaona unaanza kusalitiwa na watu,rafiki/ndugu uliowaamini watakua na wewe, inakua Kama vile unaoonewa Kama vile hakuna anayejali tena, wale ambao ulifanya bidii kuwasaidia ni Kama vile hawana utayari wa kukusaidia kama ulivyotarajia.
Huu ni wakati ambao unaweza kujikuta unatembea barabarani na unaongea mwenyewe bill kujua, furaha yako ni kama imepotea, tumaini limepotea na hata hamu ya kula kukuishia. Ni wakati ambao unaweza kujikuta unajifungia chumbani na kulia peke yako ni wakati ambao unaona giza tupu mbele yako.

Kumbuka huu wakati wa kuimarishwa kwa ajili ya hatima ya maisha yako ya Kesho, Kama vile ambavyo Dhahabu lazima ipitie kwenye moto ili itoke iking'aa ndivyo kila Ndoto kubwa lazima ipitie kipindi Cha namna hii, kikubwa unachotakiwa kukumbuka ni kuwa wakati huu Ni wa muda mfupi na hutadumu milele, ukivumilia kidogo tu utapata upenyo na majibu ya changamoto zako!

Leo kama unapitia moja ya nyakati hizi mbili USIKATE TAMAA NDOTO YAKO INAWEZEKANA.

#Nanauka
 
Mzee yaani unachunguza maisha yangu halafu unakuja kuyaweka humu?
 
Mi nipo nyakati ya kwanza walionipa moyo watanisaidia kunishika mkono wote wamekimbia kila mtu na usemi wake mara oooh mambo sio mwezi huu subiri kidogo huu nusu mwaka sasa, ninao wadai hawapokei simu basi nimebaki napapasa tuu njia sijui kama ntafika salama kwenye kutimiza ndoto yangu
 
Najipa moyo bado kidogo tuu nitoboe lakini mwaka wa tano sasa mkuu kidogo hii unayo iongelea sijui ni ipi, yaan hela ya kula tuu ndo inapatikana ila kila ukifurukuta utimize ndoto wapi narudia palepale kula
Kila mtu huwa anapitia nyakati tofauti katika maisha yake anapoelekea kutimiza NDOTO zake alizochagua kuziishi, pamoja na utofauti huu Kuna nyakati ambazo ni lazima kila mmoja wetu azipitie, ukiweza kupita salama katika nyakati hizi basi uwezekano wa NDOTO yako kutimia unakua mkubwa sana, Kuna nyakati mbili ambazo ukipita salama Basi ujue ushindi wako unakaribia!

WAKATI WA KUIONA NDOTO YAKO INAKARIBIA KUSHINDIKANA.

Huu ni wakati ambao ile Ndoto ambayo ulizoea kuiamini na kuiona thabiti inawezekana, inakuwa Kama inaanza kufifia maishani mwako. Msaada ambao uliitegemea unaanza kupotea,walioahidi kukusaidia ni Kama wanabadilisha mawazo na kutokuwa tayari kukusaidia Tena kwa sababu mbalimbali wanazotoa!

Mara nyingi wakati huu ukifika huwa tunajiuliza maswali makubwa mawili,

1.NIENDELEE?
2.NISIENDELEE?

Hapa Jambo kubwa unalotakiwa kujikumbusha ni sababu gani iliyokufanya uanze kufuatilia hiyo Ndoto yako? Kumbuka kila mtu mwenye Ndoto kubwa maishani anapitia hali hi n auwezo wako wa kupita Salama hapa ndio kigezo kikubwa Cha kufanikiwa, ni kipindi ambacho wengine wanachoka na kuacha kuendelea kupambania Ndoto zao kubwa maishani, kumbuka ujasiri wako wa kuendelea mbele wakati wa nyakati Kama hizi za kukatisha tamaa ni ufunguo na mafanikio yako inawezekana endelea kupambana!

2.WAKATI AMBAO UNAUMIZWA NA WATU/HALI ZINAZOKUZUNGUKA.

Huu ni wakati mgumu zaidi, Kuna wakati ambao unaona unaanza kusalitiwa na watu,rafiki/ndugu uliowaamini watakua na wewe, inakua Kama vile unaoonewa Kama vile hakuna anayejali tena, wale ambao ulifanya bidii kuwasaidia ni Kama vile hawana utayari wa kukusaidia kama ulivyotarajia.
Huu ni wakati ambao unaweza kujikuta unatembea barabarani na unaongea mwenyewe bill kujua, furaha yako ni kama imepotea, tumaini limepotea na hata hamu ya kula kukuishia. Ni wakati ambao unaweza kujikuta unajifungia chumbani na kulia peke yako ni wakati ambao unaona giza tupu mbele yako.

Kumbuka huu wakati wa kuimarishwa kwa ajili ya hatima ya maisha yako ya Kesho, Kama vile ambavyo Dhahabu lazima ipitie kwenye moto ili itoke iking'aa ndivyo kila Ndoto kubwa lazima ipitie kipindi Cha namna hii, kikubwa unachotakiwa kukumbuka ni kuwa wakati huu Ni wa muda mfupi na hutadumu milele, ukivumilia kidogo tu utapata upenyo na majibu ya changamoto zako!

Leo kama unapitia moja ya nyakati hizi mbili USIKATE TAMAA NDOTO YAKO INAWEZEKANA.

#Nanauka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom