Elections 2010 Nyagawa na Nyimbo waangukia pua (Njombe east and west)

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Njombe East
DEO SANGA CCM 29,644
ALATAGA NYAGAWA CHADEMA 9,781
GODFREY MGOLE CUF 300

Njombe Magharibi
GYASON LWEGE CCM 29,743
THOMAS NYIMBO CHADEMA 13,483
MHANGA MCHANO CUF 224
 
Njombe East
DEO SANGA CCM 29,644
ALATAGA NYAGAWA CHADEMA 9,781
GODFREY MGOLE CUF 300

1 Njombe Magharibi
GYASON LWEGE CCM 29,743
THOMAS NYIMBO CHADEMA 13,483
MHANGA MCHANO CUF 224
 
Uyu Nyagawa nakumbuka alisimikwa mpaka uchief leo naambiwa kashindwa tena choka mbaya.
Kuna namna apo
 
Hili ni tatizo la waropokaji inawafanya watu wakose amani, Tokea siku ya uchaguzi watu wanakuja humu wanaandika matokeo yao kutoka kwenye vichwa vyao, leo mtu hata kama matokeo ni ya ukweli watu watasema wameiba kura au kura zimeharibika! JF should have put a stop long time about this issue now it's way too late. Haya na mimi naandika TLP inaongoza Tanzania Bara!! If you believe this you must be crazy.:bowl:
 
Porojo za tuache but nimejaribu kudadisi nimegundua wanaoleta porojo ambazo sizo ni wale wale wa mlengo wa kushoto vibaraka wa CCM
Tutaaanza kuwalipua
 
Nasikia huko kura zilikuwa zinauzwa elfu kumi kumi. Unafuatwa na mabalozi unaulizwa kama una kadi ya kupigia kura. Ukiwaonyesha kadi unakatiwa buku kumi, unaambiwa hakikisha unaipigia CCM. Ukipigia chama kingine tutagundua. Huko vijijini kote nasikia hali ndiyo hiyo iliyotawala. PCCB na CCM ni mama na binti yake, wapi na wapi wakamatane. Democrasia ya Tanzania ina safari ndefu sana.
Na mimi nikipata hela ya kutosha itabidi niende jimboni kwangu nikanunue ubunge.
 
Huo ni wizi mtupu. Wagombea wengi wa ccm wamekuwa uplifted kwa kura hewa. Kisingizio cha eti wananchi wanakusanyika wengi kushangaa helkopta ya chedema hakina mshiko na ni dharau kwa watanzania. Ni sababu inayotolewa na ccm ili kuhalalisha uwizi wa kura.

jambo moja lililo dhahiri ni kuwa mwaka huu kesi za kupinga matokeo zitakuwa nyingi sana.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Back
Top Bottom