NW Katambi: Wapinzani wanataka Tume Uuru ya Uchaguzi kwa sababu tu huwa wanashindwa kwenye kura za Urais

Naibu waziri Katambi amesema Wapinzani wanadai Tume huru kwa sababu mara zote wamekuwa wakishindwa kwenye kura za urais lakini hawana sababu zozote za msingi.

Katambi ni Wakili msomi kama mh Tundu Lisu na amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema huku akiwa ni mwajiriwa wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika kampuni yake ya Sahara media.

Katambi alikuwa akihojiwa na mtangazaji Midle wa ITV.

Mahojiano kamili yatarushwa katika kipindi cha Dakika 45 jumatatu.
Waswahili wakiachana kashfa hazikosekani.
 
Genge la magaidi linataka katiba mpya, wakati katiba ya saccos yao wanaibagaza.
 
Huyu kijana ni mwanafuzi wangu o'level, I feel ugly to have invested knowledge to this guy. Kipindi anafanya field ya sheria almost alikuwa anashinda nyumban kwangu tuna socialize, I came to realise he was a naturalisitic body of a system even before joining Chadema, nilibaki kuwashangaa Chadema, niliwaambia watu flan kwamba Chadema hawajui wanalolifanya kuwa na huyu dogo
Binadamu anabadilika.ila ni hasara kwa taifa kua na kiongozi kijana ambaye badala yakuwaza kutumia nafasi aliyoipata kuisaidia nchi kimaendeleo yeye akawaza ujinga wakuididimiza nchi bila kujua nafasi aliyoipata nikwaajili ya ustawi wa jamii nzima leo na kesho.
 
Back
Top Bottom