nvmctray.dll error on start up

Hii ni error ya Nvidia products.

Tafuta PC nyingine ambayo ipo kwenye mtandao halafu kopi file NvMcTray.dll toka kwenye link hii na uweke kwenye memory stick/flash yako

Click Here to Download nvmctray.dll

au

http://www.dlldump.com/download-dll...es/N/nvmctray.dll/6.14.10.52162/download.html

Washa PC yako, weka memory stick yako halafu Bonyesha "Ctrl + Alt+Del". Chagua Task List halafu Applications. Bonyeza New Task halafu Browse. Hapa fungua Memory stick (E of F drive stc) na kopi file NvMcTray.dll (right click..copy). Rudi tena kwenye Applications na chagua New Task, Browse halafu ingia kwenye Windows folder (kwenye C drive) halafu systems32 folder. Hapa paste (right click... paste) lile file ulilolikopi hapo juu. Reboot
 
Mkuu wewe ni the star....good Job...
 
Mkuu nimekukubali wewe noma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom