ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,029
- 7,278
Mwishoni mwa miaka ya 90 viongozi wa wanafunzi wa vyuo Tanzania walianzisha wazo zuri la kuunda chama cha wanafunzi wote Tanzania kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu (NUTAS - National Union of Tanzanian Students Associations).
Draft constitution ilitengenezwa halafu ukachaguliwa uongozi wa muda uliopewa jukumu la kukamilisha utengenezaji wa katiba.Miongoni mwa viongozi hao ni wana JF kadhaa. Baada ya hapo habari za NUTAS hazikusikika tena!!!
Matumaini niliyoyaona kwenye NUTAS ni kwamba kingeweza kuwa chombo chenye ushawishi mkubwa wa kutetea maslahi ya wanafunzi na kuepusha migomo ambayo kwenye vyuo vingi vya serikali imekuwa ni kama sehemu rasmi ya ratiba.
Je ni nini kiliisibu mikakati ya kuanzisha NUTAS.