Nusura Nitapike!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Nipo hapa Lumumba napata kifungua Kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kutoka Startv. Mwendesha kipindi Pascal Mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye Jf wanauponda uamuzi wa CHADEMA kutoka nje ya bunge wakati Kikwete anahutubia bunge.

Kila akieleweshwa kwa upana dhana ya demokrasia na kukomaa kisiasa na wageni aliowaalika, yeye hoja yake kuu kama CHADEMA hawamkubali Kikwete ni kwa nini walienda kuomba kura kwa wananchi.

Kwa kweli nusura nitapike kwa jinsi Mabunga anavyoonekana kuwa kama zuzu kwa lengo tu la kuitetea CCM na Kikwete wake.
 
Huyu Mabunga Lazima atakuwa na mapepo huyo Mkemee...Unajua kuna watu wa jamii ya Mabunga huwa wanajipendekeza na kujishebedua utafikiri hawana la kufanya alimradi tu wapate vijinafasi vya upendeleo kama ukuu wa wilaya ukuu wa mkoo nk
 
sio anaokekana kama zuzu ni zuzu haswa wa ukweli (mental fresh) kuna hawa watu wanaonikera katika media zetu 1.marini hassan 2.Mabuga 3.Kibonde...endeleza ka list
 
Ndo waongoza mijadala tulionao siku hizi. Nchi hii inabidi kuwa na roho ya usugu ili kuishi na watu kama hao. Hawa ni MISUKULE. Hawajijui. Wamefugwa na CCM
 
Jamani mwajiri wake si ni ccm, anataka aidha aongezwe mshahara au apewe udairekta, hana lolote njaa tu...
 
Mkuu Kigarama,

Si ungetapika kabisa kama kweli ulikereka? Watakwenda, watarudi lakini hawana serikali nyingine ila hii hii.......

Nipo hapa Lumumba napata kifungua Kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kutoka Startv. Mwendesha kipindi Pascal Mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye Jf wanauponda uamuzi wa CHADEMA kutoka nje ya bunge wakati Kikwete anahutubia bunge.

Kila akieleweshwa kwa upana dhana ya demokrasia na kukomaa kisiasa na wageni aliowaalika, yeye hoja yake kuu kama CHADEMA hawamkubali Kikwete ni kwa nini walienda kuomba kura kwa wananchi.

Kwa kweli nusura nitapike kwa jinsi Mabunga anavyoonekana kuwa kama zuzu kwa lengo tu la kuitetea CCM na Kikwete wake.

Nakubali tumsamehe. Watu huugua utapiamlo lakini wengine wana utapiaakili
 
Nipo hapa Lumumba napata kifungua Kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kutoka Startv. Mwendesha kipindi Pascal Mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye Jf wanauponda uamuzi wa CHADEMA kutoka nje ya bunge wakati Kikwete anahutubia bunge.

Kila akieleweshwa kwa upana dhana ya demokrasia na kukomaa kisiasa na wageni aliowaalika, yeye hoja yake kuu kama CHADEMA hawamkubali Kikwete ni kwa nini walienda kuomba kura kwa wananchi.

Kwa kweli nusura nitapike kwa jinsi Mabunga anavyoonekana kuwa kama zuzu kwa lengo tu la kuitetea CCM na Kikwete wake.

Hiyo JF iliyoponda uamuzi huo ni ipi??? hii hii au nyingine?? Labda angesema huyu mshamba mwingine MS type aneitwa ThinkTwice wake mwenyewe an-Think1/16 na SINK-TWICE
 
Boss wa hiyo tv star alipigwa chini kwny uchaguzi anabembeleza hili apate viti maalum kuteuliwa na rais
 
hayo mambo ni sawa, kila mtu yuko entitled to his/her opinion... hakuna haja ya kutapika

kama wote tukifikiri sawa, basi hakuna haja ya kufikiri
 
nipo hapa lumumba napata kifungua kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "tuongee asubuhi" kutoka startv. Mwendesha kipindi pascal mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye jf wanauponda uamuzi wa chadema kutoka nje ya bunge wakati kikwete anahutubia bunge.

Kila akieleweshwa kwa upana dhana ya demokrasia na kukomaa kisiasa na wageni aliowaalika, yeye hoja yake kuu kama chadema hawamkubali kikwete ni kwa nini walienda kuomba kura kwa wananchi.

Kwa kweli nusura nitapike kwa jinsi mabunga anavyoonekana kuwa kama zuzu kwa lengo tu la kuitetea ccm na kikwete wake.

tapika;;;
 
Nipo hapa Lumumba napata kifungua Kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kutoka Startv. Mwendesha kipindi Pascal Mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye Jf wanauponda uamuzi wa CHADEMA kutoka nje ya bunge wakati Kikwete anahutubia bunge.

Kila akieleweshwa kwa upana dhana ya demokrasia na kukomaa kisiasa na wageni aliowaalika, yeye hoja yake kuu kama CHADEMA hawamkubali Kikwete ni kwa nini walienda kuomba kura kwa wananchi.

Kwa kweli nusura nitapike kwa jinsi Mabunga anavyoonekana kuwa kama zuzu kwa lengo tu la kuitetea CCM na Kikwete wake.

Mambo ya huku JF kaenda yajadili kwenye TV? punguani huyo aje hapa na hija kana analo la kujadili
 
hayo mambo ni sawa, kila mtu yuko entitled to his/her opinion... hakuna haja ya kutapika

kama wote tukifikiri sawa, basi hakuna haja ya kufikiri

Acid Heshima kwako mkuu.

Mimi kama nimemwelewa Mjumbe mjumbe, tatizo sio mawazo kufanana, laaa, ila ni kwamba, bwana Mabuga kama mwanahabari amewalika watu ili watoe maoni yao kuhusiana na lile la jana, watu wamekuja, wametoa maoni yao lakini mabuga ANALAZIMISHA akionacho yeye ndio sahihi.

Hivyo basi kama alikuwa na mawazo yake ambayo yanajitosheleza kusingekuwa na haja ya kualika wageni ili waseme yale yao na yeye kulazimisha yaliyo yake. Hivyo mabuga alikwenda nje ya mstari (nionavyo mimi)
 
Msingi mmoja muhimu wa demokrasi ni uhuru wa mawazo na kila mtu kuheshimu mawazo ya mwengine hata kama hakubaliani nayo. Kung'ang'ania kufuata mawazo ya mtu mmoja au kikundi ni uchanga wa demokrasi kama sio udikteta. Hata watu wenye itikadi moja hutafautiana mawazo, tuwaheshimu.
 
Back
Top Bottom