Nusu ya wanawake udanganya kuhusu 'makoloni yao ya zamani- Utafiti waonyesha

kuna mmoja nilimwambia yeye ni wa kumi na nane akawa anabisha asa sijui alitaka nimwambie vip

Kwanini mtu uulize? K haina makombo bana. Hao Kumi waliopita sikuzaliwa nao wala hawatanisaidia chochote. My duty is to please that pussycat. Mizigo yako ya nyuma baki nayo mwenyewe na yangu nitabaki nayo mwenyewe na ndio sababu niliidump in one way or another!

Haya maswali hua magumu hebu tujaribu kutoulizana ulizanaaaa tuwe wastaarabu maana kuna wengine wanawezs jaza meli mbili za kwenda bukobaa
 
wachache wanajua hayo asa mtu anakuganga umwambie past yako anategemea nini
 
Haya maswali hua magumu hebu tujaribu kutoulizana ulizanaaaa tuwe wastaarabu maana kuna wengine wanawezs jaza meli mbili za kwenda bukobaa

ndio hivyo anapewa jibu asilolitarajia kama anapresha mbona atazindukia wodini
 
hata mie sisemagi,
kuna wakati mtu unakuwa confused,
especially kama unatokea from unstable home,
unajaribu kutafuta security,ama father figure etc..
before you know it,
unajikuta ushatembea na watu kibao!:tape:

Wengi wenu ile kitu huwa ishalegea hafu huwa mnajidai kubana miguu lakini utamu ukikolea utakavyojiachia jamaa anaweza akazamisha hadi makende yake!
 
Dah! Wenyewe mnapenda kudanganywa, mie mbeb wangu aliniuliza nikamwambia yeye watatu akashtuka ikabd nimdanganye kuwa wa pili sikudinyana nae. Hapo akarelax kidogo. Kei haina makombo, acheni uoga.
 
ahahahahahaaaaa mweeeeeeeeeeeee
 
Ukute nimetembea na level city ya coster siwezi kwambia wala kukujibu hilo swali ... niulize about niliyemwacha nikaja kwako hapo sawa najibu... loh
 
Dah! Wenyewe mnapenda kudanganywa, mie mbeb wangu aliniuliza nikamwambia yeye watatu akashtuka ikabd nimdanganye kuwa wa pili sikudinyana nae. Hapo akarelax kidogo. Kei haina makombo, acheni uoga.

Ha ha ha ha ungemwambia watano angekufa
 
Back
Top Bottom