Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Mimi naona Mmarekani anajitekenya tuu, mtu maisha yake yote ameishi kwao hajawahi shoboka kwenda huko, eti leo unamkataza asiende.
Haina mantiki!
Mmarekani hajui kitu fulani kwamba, Africa katika watu ambao huwa hawanaga habari ya kwenda huko kwao na wanaishi kwenye dunia yao, na ndomana hata hatukuishobokea lugha yao kama Wakenya ni Tanzania.
Goin abroad kwa Watanzania si ishu, ndomana waishio huko from Tanzania ni wachache sana compared na nchi zingne za Africa.