Nusu ya ardhi katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya kudhibitiwa na kundi la Al-Shabaab la Somalia

Naona Unawapangia cha kufanya wakati hapa wameelezea troubles ambazo tayar wameleta..

"Habari zinasema, kundi Al-Shabaab la Somalia limefanya mashambulizi mfululizo katika Kaunti ya Mandera, nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu na uharibifu mkubwa. Athari za Al-Shabaab zimeenea katika Kaunti ya Mandera na maeneo ya karibu ya Banisa, Lamu, na Takaba, hivyo kuleta wasiwasi mkubwa na pia kusababisha maswali kuhusu maandalizi ya kupambana na ugaidi."

Kitu ambacho sielewi habar kama hizi hamtangaziwi kwenye media zenu ama vipi maana habar kama hii nilitegemea iwe mnaifaham coz si jambo dogo hili
When was the last time you heard of a terror attack in Mandera?..
 
Kuna mamilioni ya wamarekani wanalala barabarani, wengi hawana ajira, malazi na health Insurance.

Umefika marekani? Huku kwetu kila mtu ana ajira na malazi bora? Na hiyo health insurance watz wangapi wanayo? Ni asilimia ngapi ya watz wana afford milo 3 kwa siku?
Hebu tuhangaike kwanza na ya kwetu
 
Umefika marekani? Huku kwetu kila mtu ana ajira na malazi bora? Na hiyo health insurance watz wangapi wanayo? Ni asilimia ngapi ya watz wana afford milo 3 kwa siku?
Hebu tuhangaike kwanza na ya kwetu.Ndio maana kuna kitu kinaitwa foreign affairs kijana.
Kusaidiana kidiplomasia haimaanishi kwamba masuala ya ndani hayafuatiliwi.
We nani kakwambia Tanzania ya kwetu yametushinda?
Viongozi wanafanya kazi yao na kujaribu kadri wawezavyo kutatua shida za wananchi.
Ingelikua kila nchi inaangalia masuala yake binafsi inamaana kitu kinachoitwa diplomasia isingekuwepo.
KAJIFUNZE DIPLOMASIA NI NN KESHA UREJEE HAPA.
 
Umefika marekani? Huku kwetu kila mtu ana ajira na malazi bora? Na hiyo health insurance watz wangapi wanayo? Ni asilimia ngapi ya watz wana afford milo 3 kwa siku?
Hebu tuhangaike kwanza na ya kwetu
Wacha kudandia gari kwa mbele, umeelewa "mukhtadha" ya post yangu au umeisoma tu na kujibu?, Mara nyingi kunakua na mtiririko wa majibizano, usipokua umetiririka nao na kusoma post Moja pekee lazima utaelewa tofauti
 
Kuna Kipindi Nilikuwa nawasiliana na dada wa kikenya akaniambia anaishi Mandera nikamsikitikia sana
 
Back
Top Bottom