Nusu mwaka kabla ya Uchaguzi, Serikali yatangaza miradi mikubwa minne ya umeme ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nusu mwaka kabla ya Uchaguzi, Serikali yatangaza miradi mikubwa minne ya umeme !

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mag3, Apr 26, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Bila shaka hii itakuwa sababu tosha ya kumrudisha Kikwete madarakani aweze kukamilisha kazi atakayokuwa ameshaianza.

  Hizi gharama zanikumbusha zile za nyumba za Gavana wa Benki Kuu na wasaidizi wake - kumbe ! Yaani we wacha tu !
   
 2. m

  magee Senior Member

  #2
  Apr 26, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ..........another channel to fill their pockets!!!!!
   
 3. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hizo ni kampeni tu, kama wiki mbili zilizopita walitangaza kupitia ITV kwamba mradi wa mto Malagarasi hauwezi kuanza kwa sababu sehemu waliyokuwa wameichagua kwenye mtambo wa kufua umeme una vyura wasiopatikana sehemu nyingine yoyte ulimwenguni na hivyo mtambo ukijengwa hapo utaharibu mazingira. Wana Kigoma muwe macho na propaganda hizo.
   
Loading...