Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

duh ht km ni kutomkubali bt hii ni too much aisee....magu anaingiaje hapa?
Huyu ni muhanga wa mikutano ya Dubai. Magufuli japo ananiudhi kwa baadhi ya mambo lakini nafurahi sana ninapoona watu kama mtoa mada akiumia moyoni na Magufuli.
 
Mama ako umemjulisha? Fara wewe unaendekeza majungu utakufa na pressure mwehu wewe.
Matusi ya nini Mkuu?

Inashangaza DC Hapi hatumii mamlaka yake ya kutumia masaa 'yake' 48 kukuweka ndani kwa kuporomosha matusi, badala yake anamweka ndani Halima Mdee, ambaye ametumia haki ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 18 ambayo inatoa Uhuru wa kutoa maoni, ambapo alisema anatofautiana kimawazo na msimamo wa Magu wa kutotaka mwanafunzi yeyote aliyepata mimba akiwa shule ya misingi au sekondari kuendelea na masomo yake baada ya kujifungua hata kama mimba hiyo ameipata kwa kubakwa.

Cha ajabu kauli hiyo imetafsiriwa na DC Hapi kuwa ni kumtukana Rais na ni lugha ya uchochezi!
 
Sijawahi kujivunia timu yangu ya taifa kabla,lakini kupitia kombe hili nimeuona mwanga fulani kuelekea kule ambapo tungependa twende ktk soka,timu imefika nusu fainali kwa kumtoa mwenyeji south Africa,pamoja na kufungwa na Zambia tumecheza soka zuri tu na bado tunasubiri kucheza mchi ya mshindi WA tatu na tunaweza kuipata.nimejivunia timu yangu ya taifa kwa kaz nzuri waliyoifanya
 
Huu ndio uzalendo hongera kwako mkuu.!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom