Nusrat na Twaha: Viongozi wa Bavicha waliokamatwa Singida Wanyimwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,601
217,994
Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
1594396614080.png
1594396632868.png
 
CCM wanahangaika sana uchaguzi huu!! Utafika hatua Police wetu watasema mbeleko basi ili kuliokoa Taifa kuingia kwenye vurugu wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom