BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja.

Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu Mkoa Mwanza na kuongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Tazama vipande vya Video kuona Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Kipindi cha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Mimi binafsi nimemkubali sana mama Samia kuwa ni mchapa kazi na anaweza kuiongoza vizuri nchi hii. Kitendo chake cha kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtoto yupo darsani kakalia dawati kimenigusa kwa furaha sana. hapo kanikumbushi jinsi raisi Kikwete aliwaokoa mamilion ya watoto wa masikini nchi nzima kuwapatia elimu ya secondari na kufuta dalaja la proletariants. Mungu ampe neema SSH.JMK mungu akupe maisha marefu!
 
Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja.

Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu Mkoa Mwanza na kuongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Tazama vipande vya Video kuona Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Kipindi cha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
View attachment 2165764
View attachment 2165765
View attachment 2165766
Kwani mwaka mmoja huwa unazaa?
 
Je kumsifia mtu kwa kila jambo na kumtukuza haiwezi kuhesabiwa kama ibada ya sanamu? Je, si kuabudu miungu?
 
Kipimo cha kwanza kwake kitakuwa mei mosi kwa watumishi wa umma nchini.
 
Back
Top Bottom