Nurse alievalia chupi na sidiria awahudumia wagonjwa wa Corona Urusi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
535
1,746
Nesi mmoja raia wa urusi mwenye umri wa miaka 23 amejikuta matatani baada ya kile kilichoonekana kama ukosefu wa maadili kufiatia kuwahudumia wagonjwa wa Corona huku akiwa amevalia vazi linaloonyesha nguo zake za ndani yaan chupi na sidiria..

Hali iliyowapa mfadhaiko mkubwa wagonjwa wakiume hospitalini hapo.
28651688-8347017-Two_images_showing_the_nurse_wearing_only_lingerie_under_the_see-a-1_1590133...jpeg
28651686-8343109-image-m-14_1590044750598.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtalaamu wa saikolojia uyo sio tu nesi wa kawaida hapo anawatibu anawapunguzia stress 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom