Kwa uhitaji wa nyumba za kupanga na kununua pia viwanja CALL US 0742121038

JIINGIZIE KIPATO NA MAKAZISTATE,
Habari jina langu naitwa jerry natokea makazistate.com,
leo ningependa nikushirikishe fursa ambayo unaweza kujiingizia kipato ukiwa tu nyumbani kwako kupitia makazistate.com
makazistate ni nini,
makazistate ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa mashamba,nyumba,viwanja.apartments,offices,hostels,hotels,na kumbi za sherehe,na kupangisha pia.
kupitia www.makazistate.com,unaweza kupata nyumba,kiwanja,hostel,hotel,appartments iwe kwa ajili ya kupanga na hata kununu mahali popote.
NITAINGIZA VIPI KIPATO,
ukiwa kama mwenye nyumba,mpangaji,dalali,na hata wewe kijana mwenzangu au mtu yoyote unaweza kufanya kazi na makazistate.com na kujiingizia kipato ukiwa umetulia tu nyumbani,cha kufanya ni kuhakikisha kuwa unayo,au unataarifa ya kiwanja nyumba au shamba,appartments,hotel,hostel,kumbi za sherehe,na hata vyumba vya kupanga iwe kwa kuuza au kupangisha,kisha unatutumia picha zake na mahali kilipo kisha unatulia unatuachia sisi tunaweka kwenye site yetu ya www.makazistate.com,kwa ajili ya kukutaftia mteja,endapo mteja atapatikana basi tutakutafuta na kwenda na mteja kuja kukagua,endapo ataridhia makazistate tutakata 20%tu ya commission huku 80% ikibakia kwako kama muonganishaji wa kwanza wa mteja,hivyo kukuwezesha kujiingizia kipato kwa wakati mfupi pasipo kusumbuka kutafuta soko la wateja,Kumbuka makazistate.com tunafanya kazi muda wote na tunafanya kazi na watu wote,karibu sana kwenye fursa hii ambayo itakuingizia kipato cha kutosha na kwa haraka.
FAIDA KWA MPANGAJI AU MNUNUZI,
kupitia makazi state pia unaweza kununua na hata kutafuta nyumba,chumba,na hata hotel au hostel kwa ajili ya kupanga au hata kununua cha muhimu ni kuingia www.makazistate.com na kuchagua eneo unalotaka kununua au kupanga
kwa masawali au maoni/ufafanuzi wasiliana nasi kupitia
0659756647 iwe kawaida au whatsapp karibuni
 
Nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni ila iwe karibu na ferry.
 
Nyumba inauzwa kigamboni kibada
Bei MILIONI 180
Ina hati

Sqm800

IMG_20190203_104843_018.jpg

IMG_20190203_115457_1.jpg
 
Back
Top Bottom