Nunua na Aliexpress: Tuelimishane manunuzi mtandaoni

View attachment 1527442
19898519191696815811.jpg
 
Naomba mniwie radhi nilipata dharura ya msiba lakini tumemaliza salama na nimerejea
Tofauti ya registered parcel na unregistered unregistered ni thamani ya mzigo
Muuzaji ili kuepuka hasara ya kulipa pindi mzigo ukipotea basi huamua kuuandikisha na kulipa kodi zote muhimu ili iwe ni rahisi kuufiatilia popote duniani (tracking)
Hivyo basi vifurushi vya pesa kubwa huwa registered na vile vya pesa kidogo hupotezewa
Karibu tena, Hebu tujuze kuhusu kodi nitachajiwa % kwa bidhaa itakayoingia nchini. Na bado sijaona sehemu inayoonyesha kuwa bidhaa hii ipo registered au lah! lastly, option ya shipping ambayo ni cost less lakini yenye uhakika
 
Karibu tena, Hebu tujuze kuhusu kodi nitachajiwa % kwa bidhaa itakayoingia nchini. Na bado sijaona sehemu inayoonyesha kuwa bidhaa hii ipo registered au lah! lastly, option ya shipping ambayo ni cost less lakini yenye uhakika.
 
Karibu tena, Hebu tujuze kuhusu kodi nitachajiwa % kwa bidhaa itakayoingia nchini. Na bado sijaona sehemu inayoonyesha kuwa bidhaa hii ipo registered au lah! lastly, option ya shipping ambayo ni cost less lakini yenye uhakika
Kuhusu kodi register parcel zote hazina kodi ila parcel nyingine kodi yake ni kati ya 2100 na 5000
Usafiri wa fasta ni Singapore couriel ..ila ukitaka wa kulipia kuna DHL nk
 
Tumia mastercard mkuu.Tengeneza m pesa mastercard au airtel master card .mda wa kulipia unaingiza namba za kadi yako then pesa itakatwa.
Hakikisha wakati huo umeweka pesa kwenye kadi yako.
Okay asante. Kwa iyo nikifika pale hatua ya ku confirm payment na choosee mastercard thwn natupia namba za master card
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom