Nunua mazao kwa bei rahisi kipindi hiki cha mavuno

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
195
Wapendwa mim nawasaidia watu ambao wapo bize na kazi zao na wanatamani wajiingize kwenye kilimo, nipm tufanye mawasilia. VILEVILE kipindi hiki mikoa mingi wanavuna hivyo mazao ni bei rahisi sana mahind 1kg tsh.300 hadi 500 ,mpunga 1kg tsh.500 hadi 800, ufuta 1kg tsh.2500 hadi 3500,maharage 1kg tsh.1500 hadi 2000 karanga, ulezi, mtama, mbaazi, mihogo N.K, kama unapenda kununua mazao ili uweze kuyauza wakati soko likiwa vizuri, mi nipo nipm tufanye mawasiliano nitakununulia kadri ya hela yako na malipo yangu tunakubaliana tu haina shida.. nitayafuata mazao mikoani ambako ni rahisi kupatikana.. KARIBU
 
Ibravo

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
533
250
You are right!!!
Kwa hili hata manunuzi kwa mlaji inakuwa rahisi sana ktk msimu huu.
 
nguo

Member
Apr 12, 2012
28
45
Wapendwa mim nawasaidia watu ambao wapo bize na kazi zao na wanatamani wajiingize kwenye kilimo, nipm tufanye mawasilia. VILEVILE kipindi hiki mikoa mingi wanavuna hivyo mazao ni bei rahisi sana mahind 1kg tsh.300 hadi 500 ,mpunga 1kg tsh.500 hadi 800, ufuta 1kg tsh.2500 hadi 3500,maharage 1kg tsh.1500 hadi 2000 karanga, ulezi, mtama, mbaazi, mihogo N.K, kama unapenda kununua mazao ili uweze kuyauza wakati soko likiwa vizuri, mi nipo nipm tufanye mawasiliano nitakununulia kadri ya hela yako na malipo yangu tunakubaliana tu haina shida.. nitayafuata mazao mikoani ambako ni rahisi kupatikana.. KARIBU

Ni pm namba yako tuongee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom