Nunua mazao bei rahisi kipindi hiki cha mavuno

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Wadau, mimi nawasaidia wale ambao wanataka kufanya shughuli za kilimo lakini wapo bize na kazi zao nipm tuwasiliane. Lakini pia muda huu ni mzuri kununua mazao kwa sababu mikoa mingi wanavuna, bei ya mazao ni rahisi sana.

Mahindi 1kg tsh.300 hadi 500, mpunga 1kg tsh.500 hadi tsh.800, ufuta 1kg tsh.2500 hadi tsh.3500, maharage 1kg tsh 1500 hadi tsh.2000, karanga, mtama, mihogo n.k.

Kama unapenda kununua kipindi hiki ili uuze kipindi soko likiwa vizuri nipm tuwasiliane. malipo yangu tunakubaliana tu wala haina shida tena nitayafuata mazao mikoani huko.

Karibu.
 
Wadau mim nawasaidia wale ambao wanataka kufanya shughuli za kilimo lakin wapo bize na kazi zao nipm tuwasiliane.. LAKINI PIA muda huu ni mzuri kununua mazao kwa sababu mikoa mingi wanavuna, bei ya mazao ni rahisi sana., mahindi 1kg tsh.300 hadi 500, mpunga 1kg tsh.500 hadi tsh.800, ufuta 1kg tsh.2500 hadi tsh.3500, maharage 1kg tsh 1500 hadi tsh.2000,karanga, mtama, mihogo N.K..kama unapenda kununua kipindi hiki ili uuze kipindi soko likiwa vizuri nipm tuwasiliane. malipo yangu tunakubaliana tu wala haina shida.. tena nitayafuata mazao mikoani huko.. KARIBU

'mkuu wee ni dalali ambaye umeweka na chako cha juu upate senti kidogo au unalima mwenyewe unatafuta wateja it means una heka za mashamba yako ulilima mwenyewe hivyo mazao tayari now you are looking for customers au unanunua shambani na wee unakuja kuuza mjini coz am asking those questions due to that red line above about the price,sidhani kama hiyo bei ni ya huko wanapolima mkuu leo hii nimeuliza ufuta tena DAR dukani na sio sokoni wakasema 1kg ni 3000Tsh i hope sokoni itakuwa down kdg.Shamba mkoani debe ni 35000 - 30/28 it means debe ni kilo 20 i.e 10kg = 15000 * 1kg = 1500 na kuna mtu nimeongea nae kwa simu nikimuuliza gunia 100kg akasema ni 150,000 -170,000 ufuta kutoka MADOTO it means 1kg =1500 sasa mkuu kama bei ya DAR ni 3000 per kilogram iweje shamba iwe 3500 mkuu are you serious?.Ndio maana nikauliza mkuu wee ni dalali ambaye umeweka na chako cha juu upate senti kidogo au unalima mwenyewe unatafuta wateja it means una heka za mashamba yako ulilima mwenyewe hivyo mazao tayari now you are looking for customers au unanunua shambani na wee unakuja kuuza mjini au unataka kutumia FURSA sijajua hayo mazao mengine uliyotaja kwa hivyo tunakuomba urudi jamvini utueleze ufuta huo ushawekwa sukari kabisa au ni vipi mkuu tunakuomba jamvini hapa utupe nafasi ya kuweza kupata uhalali wa kuhoji tafadhali,KARIBU'

NB: Kichwa cha habari cha mada yako.
 
Mkuu Nduki, hiyo bei nimefanya utafiti katika mkoa wa ruvuma, mimi ni kama unanituma nikakununulie mazao kwa kiasi unachotaka, unanikabidhi shiling nakufanyia kazi hiyo, siwezi kubisha na inawezekana kabisa ikawa hiyo bei uliyosema lakin pia inategemea ni ufuta wa aina gani na una ubora gani. Haya mazao kuna sehemu yapo kwa wingi na bei zake ni kama hapo juu
 
Mkuu Nduki, hiyo bei nimefanya utafiti katika mkoa wa ruvuma, mimi ni kama unanituma nikakununulie mazao kwa kiasi unachotaka, unanikabidhi shiling nakufanyia kazi hiyo, siwezi kubisha na inawezekana kabisa ikawa hiyo bei uliyosema lakin pia inategemea ni ufuta wa aina gani na una ubora gani. Haya mazao kuna sehemu yapo kwa wingi na bei zake ni kama hapo juu

'...unajua kiuhalisia skatai kuwa mtu anaweza akafanya jiwe na kuligeuza kuwa sponch hii hutegemea mazingira anayofanyia mchezo huo na watu anaowafanyia mchezo huo pia japo seeing is believing kwa asiyeona hawezi kuamini ila mtu mpaka atakapoona mwenyewe kuwa jiwe linageuka vipi kuwa sponch ndipo atakapoamini kwa hiyo karibu uwaaminishe wasioamini suala hilo ila kwa sisi ambao tumeshaona,tumeshakubali na kuamini kuwa jiwe linaweza kugeuka na kuwa sponch huu mchezo unaitwa,ABRACADABRAH'
 
Wale wafanyabiashara kuna burter system katika mkoa wa singida yaani unabadilishana dumu la kuhifadhia mahindi na debe moja(kg 20) za mahindi..kwa wale wakusanyaji hii biashara inafaida sana.
 
Back
Top Bottom