Nunua iphone 4s hapa au tubadilishane na nokia lumia.

Maberere

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
316
93
Nina iphone 4s original naiuza 418,000/= au kama una nokia lumia yeyoye nzuri tunadilishane.

Ni pm tuwasiliane utaipenda imetumiaka mwezi mmoja tu.
Lumia625, 620, 800, 520 nk ila mtaniongezea na hela kidogo sana kulingana na aina ya lumia uliyonayo kikubwa iwe inasapoti $ codes eg mpesa, front camera na win8.
 
ni factory unlocked au jaibrake?
 
Back
Top Bottom