Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1641107111816.png
 
Mkuu kwema ? Kuna mwarabi mmoja nimeona anauza laptop toka dubai anasema anafanya delivery kwa tz pia ila sasa sina namna ya kumvet kama kweli ama vp nna hofu ya kupigwa sijawahi nunua kitu online jamaa kaposti via zoomtanzani

Nisaidie hapo kama una experience leemye profile yake zoom wanasema yuko verified via mobile
 
kaposti via zoomtanzani
anafanya delivery kwa tz pia ila sasa sina namna ya kumvet kama kweli ama vp nna hofu ya kupigwa
Nisaidie hapo kama una experience leemye profile yake zoom
  • Sijawahi kununua kupitia zoomTz, na wala huwa sina kawaida ya kuangalia matangazo yao.
  • Uwezekano wa kupoteza fedha kwa huyi muuzaji ni asilimia 95%
Ushauri
- Chukua hiyo model ya PC uliyoiona zommtz, kisha tafuta EBAY au amzon na utapata kwa reasonable price, na mzigo utakufikia ndani ya wiki 3
 
Thanks chief ngoja niingie huko nitafute then nitarudi kwa maelekezo
 
Thanks chief ngoja niingie huko nitafute then nitarudi kwa maelekezo
Mambo ya kuzingatia kwa manunuzi ZoomTz au Kupatana

* Hakikisha bidhaa husika iko Tanzania.

* Hakikisha unaweza kufika kuikagua au ukamtuma mtu akukagulie, muuzaji atakupa location ilipo hiyo bidhaa yake..

* Wapo baadhi ya wauzaji, Hasa kwa dar, Yuko tayari akuletee bidhaa mahala ulipo, na unalipia baada ya kujiridhisha ukiwa nayo bidhaa mkononi.

* Epuka kutuma fedha wa muuzaji ambaye hujawahi kufanya naye biashara kabla.
 
Nahitaji kupata masoko yakuchukua bidhaa za mek up pafyum dawaza nywele
 
BARCODE y we chart kwajili y malipo Je kwa Tanzania nalipaje?
Tumia njia nyingine salama zaidi ya malipo, Kama ni mara yako ya kwanza kununua kwake huyo muuzaji.
WeChat Pay is a mobile payment and digital wallet service by WeChat based in China that allows users make mobile payments and online transactions. As of March 2016, WeChat Pay had over 300 million users

Source: Wiki
 
Back
Top Bottom