Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Aise! Siwezi pata the same model yenye price ya chini?
Kwa amazon haiwezekani kupata, Sababu chukualia item inauzwa kwa US $1 kwa mazon, na uzito wake ni chini ya gm 500 (0.5kg) angalia gharama yake ya kusafirisha hapo juu kwenye soko kundi B.
2. Iwapo umenunua bidhaa toka soko kundi B – Gharama ya kusafirishia hutegemea UZITO wa bidhaa husika katika KILO (Kg) au katika POUND (LB) na kiwango cha fedha hutokana na kila 0.5kg ya bidhaa yako. kwa huu utaratibu

emoji778.png
Mfano
:
a) 0.1 - 0.5kg Gharama ya kusafirisha ni USD 20.34
b) 0.6 – 1kg Gharama ya kusafirisha ni 33.14 USD
c) 1.1kg – 1.5kg Gharama ya kusafirisha ni 43.94 USD
d) 1.6kg – 2kg Gharama ya kusafirisha ni 56.74 USD

Hivyo pindi ununuapo bidhaa kwenye Soko kundi B – Hakikisha unaangalia uzito halisi wa bidhaa yako. Ili kujua kiasi cha fedha kitakacho hitajika kusafirishia mzigo.

Angalia aliexpress, ndipo kuna gharama ndogo za usafirishaji.
 
Basi naomba gharama ya hii

Back
Top Bottom