Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hii inakuwaje mpaka inanifikia mkononi?
 
Hii inakuwaje mpaka inanifikia mkononi?
tzs. 56,120
 
Ni used hiyo?
1565520142034.png

Ni refurb, sawa na mpya.
Na siku ngapi itachukua?
Ndani ya wiki 3 - 4
 
naweza agiza tv ebay na ikafika fresh tu bila tatizo
#1. Ndio unaweza kuagiza na ikafika nchini.

#2. Changamoto - Gharama ya kusafirishia
(i) Yaweza ikazidi gharama ya manunuzi
(ii) Kuna tozo la kodi/ Vat baada ya mzigo kufika nchini.

#3. Ukijumlisha gharama yote, Ni vyema ukanunua hapa hapa nchini, sababu wafanya biashara wakubwa huingiza mzigo mkubwa kwa njia ya meli hivyo gharama za usafirishaji kuwa ndogo, na mtumiaji atanunua kwa bei ndogo. Tofauti na kama itaagizwa moja.
 
Thanks bro hapo nimekupata manake daah kuna sound bar inauzwa laki sita unusu ila ebaya hiyonbeu yake nimebidi nifunge breki aiseee si kwa bei ile
 
Back
Top Bottom