Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naitaji hii android TV box mbaka kunifikia kiasi gani nipo dar es salaam buguluni
Screenshot_20190619-120908.jpeg
 
"no return but backed by ebay money back guarantee "
Muuzaji akishauza bidhaa husika, hakubali kuirudisha kwake.
Ila kwakuwa manunuzi yamefanyika ebay, wao ebay ndio watashughulikia malalamiko yako, hata kurudishiwa fedha baada ya wewe kuirudisha item husika.
 
Back
Top Bottom