TZS. 475,382.18
Nahitaji chaji mbili za Samsung S8, nipe gharama zake tufanye biashara.Sahihi, hadi kufikisha Dar.
Kwa chaji mbiliBei TZS. 34,160Code:https://www.aliexpress.com/item/32808074178.html
Muda: Wiki tatu baada ya muuzaji kutuma
View attachment 1133512
Taratibu za malipo tafadhaliBei ya mbili ni TZS. 60,160
Haina shida mkuu.
Tuangalie huu mfano.hiyohiyo gharama za kusafirisha zinatofautiana mfano unakuta Ali express standard shipping gharama zinatofautiana wakati bidhaa ni hiyo hiyo
Tuangalie huu mfano.
- Muuzaji A anauza USB Flash kwa US $3 na anasafirisha kwa USD 2
Wakati huo huo
- Muuzaji B anauza USB flash kwa US $1.5 na anasafirisha kwa USD 3.5
Wote muuzaji A na Muuzaji B wanatumia Aliexpress standard shipping.
Je wewe utanunua bidhaa kwa muuzaji yupi kati ya Muuzaji A na B?
Hili ni jibu langu mkuu??
Nashkuru.Sahihi, ni jibu lako, inayopatikana sokoni ni 32GB