Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Nunda akiwa darasani na mwalimu wake aitwae Jeni akiwa katika kufundisha somo la sayansi ya baiolojia juu ya mzunguko wa damu moyoni ,ghafla Nunda alinyanyua mkono na kusema anasuali anataka kuulizah !
Mwalimu akampa ruhusa ya kuuliza.
Nunda :- Eti Mwalimu moyo una miguuu ??
Mwalimu huku ikiwa ameshangaa na suali hilo: Kajibu kwa suala kwa nini umeuliza hivyo Nundaa ?
Nunda :- Kwa sababu jana nilisikia Baba akiwa chumbani akisema sweetheart fungua miguu yako :becky: