Nunda (5) Kanisani

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Nunda ilitokea siku moja akavutwa na baba yake waende kanisani ,wakaingia akiwa na furaha kwani ni mara yake ya kwanza kuingia Kanisani ,akaa pembeni mwa baba yake akiwa tayari kumsikiliza mhubiri wa kanisa.

Sasa kwa siku hiyo kwa bahati nzuri au mbaya mhubiri alihutubia kama masaa matatu na bado anaonekana hana nia ya kumaliza kwa karibu;-

Nunda yu maji keshachoka hakuna hata kimoja anachokisikiliza akakifahamu yupo yupo tu ,akamnong;oneza baba yake ,bbaba eei hivi unaweza kumkatia chochote huyu mhubiri sie tukaenda zetu :becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom