Namba za organizer wa TB Joshua hapa Tanzania

Tatizo linaanzia hapa...
28 Basi, ikiwa Mungu huvika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo na kesho hutupwa karibuni, je! hatawatendea ninyi zaidi, enyi wa imani haba?
Huhitaji kupitia kwa mtu kumfikia bwana muumba wako,maana yu karibu nawe kuliko nywele zako,safisha nafsi yako na msifu na kumhimidi kwa majina yake makuu.
 
asante boss na kama unaweza nisaidia zaidi in box hawa kama nawezapata majina au kama una experience kidogo unipe mwanga
 
Huhitaji kupitia kwa mtu kumfikia bwana muumba wako,maana yu karibu nawe kuliko nywele zako,safisha nafsi yako na msifu na kumhimidi kwa majina yake makuu.[/QUOT

hata mimi zamani nilikua nakakiburi kama wewe nikawa najua hivyo, na nilikua nimejikita kwenye kufatilia mambo ya freemason, illuminat nikajiona najua then baadae ndio nikajua POWER PASS POWER my friend
 
Hivi hata humu kuna watu vichwa ngumu kama huyu mtoa post!!
Mtaliwa sana tu... matapeli wa bongo umewachoka sasa unawapelekea wa-nigeria pesa! Tena kwa nauli yako, chakula chako, malaz ya kwako, nk. Yaani ungekuwa karibu ningekunasa kibao, maana nazidi tu kupata hasira.


niache bana nini lakini mnaleta shida
 
Hayo maelekezo akupe bure hiyo kodi ya pango benjamin mkapa unamlipia wewe? Huyo T.B Joshua si ajabu yupo chooni anakunya muda huu, wewe ndie unataka ukamwamudu? Idiot

khaa haya bana, ila jua mi sio mlokole Hio IDIOT kama naiona bun vile, labda ukirudia kukoment tena itabidi nichukue tu hio bana, mpaka namtafuta tb j jua nimevurugwa kweli oohooo
 
Mtoa mada,
Unaonekana unafanya mzaha.
sio dhambi kwenda kuabudu kanisani kwa TB Joshua.
Viongozi wa dini hawaabudiwi bali wanaongoza maombi kwa waumini wa imani husika.
Sio vizuri kumkashifu TB.Joshua kwani hajawahi kuhitaji kuabudiwa, na ni binadamu kama binadamu wengine pia.
Hata maaskofu wetu ni binadamu pia kama TB Joshua, mbona tunaongozwa nao na hatuwakejeri ?
Wakristo wapo huru kuabudu popote ambapo jina la Yesu Kristo linatajwa kwa heshima ya kuabudu na ibada.
Kama huna imani na kiongozi wa dini bora unyamaze tu kuliko kukejeri kwa maana wamewekwa na Mungu hivyo una hiari ya kuwashirikisha katika ibada zako au la.
Ni tabia chafu sana mnayoendekeza ya kuwakejeri viongizi wa dini. Na hakuna kiongozi mnaye mheshimu.
Je mliambiwa mtaongozwa na Malaika katika ibada zenu za kiimani ?
Kama mnaona viongozi wa dini ni matapeli, ninyi waadirifu mnapatikana wapi tuwafuate mtuongoze.
Mungu ameweke viongozi ambao ni Mitume, Wachungaji, Maaskofu, Manabii, Wainjiristi, Makasisi, Wahudumu nk.
Je wewe unayekejeri ni nani katika hao viongozi ?
Kama kumfikia Mungu hakuhitaji kiongozi ni kwanini Mungu anawateua hao watu na kuwapa hivyo vyeo ?
Kwenda kanisani haimaanishi kwenda kumwabudu kiongozi wa Kanisa hilo.
Muwe na heshima japo kidogo tu au mnataka wenye pesa wawe hao Freemasoni peke yao ?
Kiongozi wa dini aliyeteuliws na Mungu ni lazima awe mwenye pesa na sio maskini kwani mali zote ni za Mungu na huwapa anaowapa majukumu yake pia.
Tubuni Ufalme wa Mbingu Umekaribia.

SON OF THE LAND, post: 27218011, member: 330116"]khaa haya bana, ila jua mi sio mlokole Hio IDIOT kama naiona bun vile, labda ukirudia kukoment tena itabidi nichukue tu hio bana, mpaka namtafuta tb j jua nimevurugwa kweli oohooo[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom