Nukuu za kikao

Twalangete

Member
Nov 29, 2019
9
3
Naomba kujuzwa zaidi katika nyanja zifuatazo pindi unapoandika nukuu za kikao
  1. Lugha ya nyakati gani
  2. Mfano wa vipengele gani vyakujumuishwa
 
Nukuu unatumia kiswahili sana sana, vipengeke ni jumuishi vyote. Cha msingi tafuta muundo changamano kama virai kwa sentensi huria, ukikosa chakata kupitia vishazi mnyumbuliko.
Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom