Nukuu za ajabu za Makamba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu za ajabu za Makamba...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumboplate, Oct 6, 2010.

 1. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba tusaidiane kuandika nukuu zote za ajabu alizowahi kutoa Yusuph Makamba kwa kuwa mi naona huyu mzee ndiye anayeongoza kwa kuongea mambo pasipo kufikiri kwa umakini. Toa nukuu yoyote unayoikumbuka plz...
   
 2. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Ningeshangaa kama January (Makamba) angeshindwa katika kura za maoni kwa kuwa hakwenda kama January bali kama mtoto wa katibu mkuu na iwapo angeshindwa ingekuwa aibu kwa chama"
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hee yake hii au mnapika tuuu
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Si mumeulizwa nukuu za ajabu za makamba?

  Naona watu wanajibu wanavyojua tuuu humu teh teh teh.

   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Moja wapo hii hapa

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Ndani ya ukumbi huo huo SMG- Tarime akasema " Wanao nyoosha vidole viwili na dole gumba wote wana njaaa ila kheri ya wanaonyoosha dole gumba kwani wao wata neemeka baadae kuliko wanao nyoosha vidole viwili kwani wao ndio wananjaaa zaidi"

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nukuu nyingine ni za kipicha zaidi, kama ile wanayosema wananchi mashujaa wa Tarime kuwa walipokuwa wanamwonyesha vidole viwili yeye aliamua kuingiza dole gumba kati ya vidole viwili na akapata SERA ya kuwaambia
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  nukuu nyingine ''wakazi wote wa kariakoo mna njaa''.......hii aliitoa kupinga midahalo ccm!!!watu wakaandamana
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Yaani Yusuph Makamba is one of those reasons accelerate CCM disintegration

  Nikuwa tu wanamvumilia hao CCM huko Juu ila nae ndio mwisho wake   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  huyu ndo mtendaji mkuu wa shughuli za kichama...hakyanani tenaa!!
   
Loading...