Napenda sana kusoma juu ya Rais wetu mpendwa.. ni Rais Jembe haswaaa.. amevunja historia nchini kwa kusikilizwa na wana CCM wengi, pamoja na Wapinzani.. tena hao kizaidi.. Chaguo la Mungu..

Hii alisema imesaidia sana wanchi kuacha uvivu na kujitambua na kufurahia maisha yao ya kuishi kama binadamu.. usipo fanya kazi na usile

💚💛💚💛💚💛 💯
Magufuli oyeeeee
Mchu. mba mbona humfagilii makonda siku hizi!! Kulikoni?
 
IMG_20201019_135246.jpg
 
We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Yai la Dr. John Pombe MAGUFULI
 
Dr Magufuli ni chaguo la Mungu!

Na hii Ripot Mh Lissu aliipuuzia ,hata wenye Madini yao (Wawekezaji-Mabeberu) waliipuuzia na hatimae Matokeo wakakubali kutupatia Pesa kiduuuchu sana kutoka Trillions of Money mpaka Bilioni kadhaa tofauti na tulivyo aminishwa na Mkuu wa Nchi na Ripot yake.

Pole sana Mh Lissu kwa kushambuliwa kwa Risasi kwa sababu uliamua kuwa mkweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom