Nukuu(Quote) za oyo na ajabu katika Awamu ya Tano (2015-2020)

Katika kampeni kule kilombero mheshimiwa baada ya kuchanganyikiwa kutokana na mafuriko ya mabadiliko mara PushUps mara Magufuli for Change(M4C) basi siku ya kampeni ikawa hv.

Wapiga kura; Ndugu mgombea ukiwa Raisi na sisi huku Kilombero tunataka utuletee Bahari km ile ya DSM

Magu; Niwaahidi tu ndugu zangu wa Kilombero mkinichagua kuwa Raisi wenu na Mungu ananiona maana msemakweli ni mpenzi wa Mungu,Nasema hiviiii,BAHARI NITALETAAAAAAA..

Wapiga kura; Makofi Papapapappaapapa.
 
Duuh acha fiksi
 
Sasa ndugu zangu Moderator hapo kwenye kurekebisha hizo Caps letters kwenye heading ya uzi mbona mmeharibu hilo neno HOVYO na kuweka OYO please maana imeshaharibika liwekeni neno Oyo lisomeke Hovyo.
 
"NAPENDA KUWAPONGEZA KAGERA SUGAR WAMECHEZA MCHEZO MZURI,MBELE YA UMATI WA WASHANGILIAJI HAWA LAKINI BADO WAMETOBOA TUNDU LA WANASIMBA".

BY Hon President of URT JPM
 
Back
Top Bottom