Aquatic
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 715
- 268
Nahitaji hiyo mkuu.BLEU DE CHANEL inapunguzo kubwa sana 35k kwasasa then itarudi ktk bei yake....nikipata muda ili kufupisha maswali ntaweka bei zake za kila perfume
Jaribu upupu utakufaaMie Blue For Men yangu tu 28,000/=harufu zaidi ya 72hrs...ila naomba kusaidiwa jinsi ya kubadilisha perfume,nimeshindwa kabisa kutumia product tofauti na niliyoizoea yaani nikitumia tofauti huwa najistukia stukia sana.huwa natamani niwe na angalao machaguo mawili ila nashindwa!