Nukia classic na perfume za kijanja

Aquatic

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
715
268
Umaridadi uficha mengi, nukia kijanja na perfume classic kwa bei ya kutupa, kwa perfume za jumla na rejareja kwa perfume zifuatazo nione DM au piga 0628964939

375x500.13805.jpg 2015-09-251043403630.jpg 278180.jpg download.jpg eau-de-parfum-hermes-75-terre-d-hermes-original-imadkxtguqrsg5fx.jpeg


images.jpg item_XL_7040879_16200747.jpg item_XL_7861025_18066513.jpg Perfume.jpeg original_CW.jpg

Perfume kutoka UK muonekano wa picha na bidhaa utakayo uziwa ndio huo huo km unavyoonekana hakuna longo longo.
 
BLEU DE CHANEL inapunguzo kubwa sana 35k kwasasa then itarudi ktk bei yake....nikipata muda ili kufupisha maswali ntaweka bei zake za kila perfume
 
Mkuu mimi sio mtambuzi wa perfume nzuri, kama unanichagulia wewe ipi inanifaa hapo na bei!
 
Mie Blue For Men yangu tu 28,000/=harufu zaidi ya 72hrs...ila naomba kusaidiwa jinsi ya kubadilisha perfume,nimeshindwa kabisa kutumia product tofauti na niliyoizoea yaani nikitumia tofauti huwa najistukia stukia sana.huwa natamani niwe na angalao machaguo mawili ila nashindwa!
 
Hiyo kitu ml 50 usd 230 duty free shop
 

Attachments

  • 375x500.1825.jpg
    375x500.1825.jpg
    8.3 KB · Views: 71
Back
Top Bottom