Nufaika na mafuta ya MISKI

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,263
NUFAIKA NA MAFUTA YA MISKI

Miski ni mama wa mafuta yote mazuri duniani. Kutokana na ubora au umuhimu wake katika tiba na manukato watu wengi wamekuwa wakichakachua na kuzalisha miski feki.UNAWEZAJE KUTAMBUA MISKI FEKI NA HALISI?

Unaweza kutambua kwa kunusa, kupima uzito na ladha. Kwa upande wa ladha, miski halisi inakuwa na ladha ya uchungu isiyochanganyika na sukari, na kama utaonja basi utapata msisimuko fulani.

Pia kama utayasomea Ruqia na kumpakaa mgonjwa wa masheitani athari zake huonekana maramoja.

MATUMIZI YA MAFUTA YA MISIKI KAMA TIBA

1. Ni kinga na tiba ya masheitani wa kijini na kibinadamu. MATUMIZI; Changanya mafuta ya miski na ya zaituni halafu uwe unajipakaa mwilimzima asubuhi na jioni. ukkosa mafuta ya zaituni unaweza kutumia mafuta ya miski pekeyake.

2.Kusafisha na kufungua milango ya fahamu-MATUMIZI; Nusa marakwamara.

3.Kuongeza hamu ya chakula cha usiku kwa wanandoa. MATUMIZI; weka maji katika glasi halafu dondoshea matone matatu ya miski, halafu unywe na kujipaka sehemu nyeti dakika tano kabla ya kwenda chakulani. hii ni kwa wanaume na wanawake.

4. Kusafisha sehemu nyeti. MATUMIZI; Wanawake baada ya kumaliza siku zao wanaweza kutumia mafuta haya kwa kuondoa harufu, lakini pia kwa kuongeza ashiki (hamu). ONYO: Usitumiye bila kuchanganya na maji na usitumiye kama hauko katika ndoa nakama uko mbalimbali na mume wako.

5. Tiba ya uke ulio legea. MATUMIZI;Changanya na maji halafu uwe unanawa kwa ajili ya kukaza uke, kupunguza maji na kufanya sehemu hiyo kuwa ndogo.

======================
Wakuu hii msg nilitumiwa watsup na nikavutiwa na tiba yake nikaona bora niilete hapa ila mnihakikishie kama ni kweli na kama kuna mtu ana picha ya hayo mafuta.
 
Mafuta ya Miski
Olive+Oil.jpg
Mafuta ya zaituni
 

Attachments

  • Olive Oil.jpg
    Olive Oil.jpg
    8.6 KB · Views: 770
  • Arabian_Musk_Per.jpg
    Arabian_Musk_Per.jpg
    6.1 KB · Views: 3,234
mi nipo mwanza nafuatilia kesho kama yanapatina na nitaleta majibu hapa
 
Yanapatikana sana kwenye maduka ya kuuza dawa za mitishamba au kwa wale wa Dar nenda kariakoo tafuta maduka ya wapemba au popote wanapouza dawa za asili
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom