nuclear test...je ni osama hawa jee?? ni sawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nuclear test...je ni osama hawa jee?? ni sawa

Discussion in 'International Forum' started by OsamaBinLaden, Nov 24, 2009.

 1. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi binadamu wa dunia ya leo ni vipofu au wazimu au ni nini kinawasumbua maana sielewi osama anahatarisha maisha ya watu hawa hamuwaoni ??????


  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=16cewjeqNdw[/ame]

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=i4x7G_AOL8k[/ame]


  mpo kimpyaaaa ni jambo zuri???
   
 2. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeee osama ni gaidi au usa ????  Nasubiri kura zenu msipojibu nitaleata nyingine.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu kabla sija jibu thread yako (na nataka kweli kuijibu) naomba ucite deninition yoyote ambayo wewe una kubaliana nayo ili tuwe ukrasa mmoja. Ukisha fanya hivyo najibu accordingly.
   
 4. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We unaujua upnde wangu na soma tena kichwa cha habari utapata jibu>>>>


  bado kimya utadhani yaliofanywa hapo ni mazuri...?

  Kisaa marekani.....hakosei...lol
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Lol. It seems you were education deprived. Tell me do you know about Peral Harbor? Hiroshima & Nagasaki was a response to that. Kasome historia ndugu because it will be very hard to answer you intelligently if you don't. LOL.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Marekani ndio Waanzilishi wa Ma Terorrist duniani Osama Bin Laden ni mtoto wa amerika wao ndio waliomfundisha Osama Bin Lasen Waamerika ndio watu wabaya katika hii dunia.
   
Loading...