Nuclear Missile Submarines zinabakia kuwa Siraha za hatari kabisa Duniani

Hata sasa bado ni changamoto kwenye kuzidetect sub hasa zile high tech Sub kama hyo Seawolf ya Muamerica ambayo ina stealth au Akula ya Mrusi ila teknolojia kila siku inabadilika

Hahahahah

Dude linaishia pembeni mwa Cuba then linaachia vitu kuelekea States pale hahahahhahh
 
Kama mpenzi wa movie jaribu kutafuta movie inaitwa 'Hunter killer' uone jinsi nyambizi za Marekani na Urusi zinavyowindana.

NI movie nzuri sana hasa kwa wapenzi wa haya Mambo ya teknolojia za kijeshi

Nipe website au YouTube ipo hiyo movie?
 
Siwezi kustream? Maana nipo kwenye kisimu cha Tecno Internal memory mbuzi
Si bora uidownload Mkuu, streaming utapata taabu ya kugandaganda siunajua mitandao yetu ya Bongo

Halafu sio kubwa sana haifiki hata 1.5GB
 
Si bora uidownload Mkuu, streaming utapata taabu ya kugandaganda siunajua mitandao yetu ya Bongo

Halafu sio kubwa sana haifiki hata 1.5GB

Hizi simu za Tecno bana, memory kama zina mizengwe fulani. Ngoja nikipata fursa kwenye Computer niishushe
 
Aircraft carrier na meli za kivita zina mfumo wa sonar maalum kwa kuzidetect hizo subs

Na pia carrier za Marekani kila zinapokua kwenye mission hua zinasindikizwa na destroyers,frigates pamoja na submarine

Carrier yenyewe inabeba Ndege au helicopter maalum kabisa kwa ajili ya hiyo kaz ya kutafuta submarine mfano Mh-60 Seahawk helicopters
Mada tamu sana hii
 
Sasa hivi Wapo kazini huko kuleta Submarine ambazo zitaevade hizo tech za kuziona

Kutakuwa na changamoto sana kwa sababu Nyambizi sio fast moving object , pili kuna nearby reflector yaani sea surface ambayo itatakiwa kuonekana kama kawaida ikiwa wave zitakuwa absorbed hapo katikati itatengeneza gap kwenye sea surface tofauti na angani uki-absorb radar wave hakuna reference point kuonyesha kama kuna interruption imefanyika somewhere maana anga halina surface wakati huo huo object inakuwa very fast somewhere mac 3 or above huwezi tambua kitu
 
Of course niliiisoma ile Article inasema itachukua muda kwa mujibu wa yule Professor (expert) ila akasema lazima watazishinda hizo Acoustic na Sonar
 
Back
Top Bottom