Ntayapeleka wapi haya??

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,991
2,564
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?
 

Attachments

  • 1436701501100.jpg
    1436701501100.jpg
    30.8 KB · Views: 1,227
Peleka EBAY:peace:

Au Team Lowassa ndo isha sambaratika?

Marafiki wa Lowassa je, hawangependelea kuvaa mashatai yenye jina la rafiki yao?
 
Nimechekaaaaaaaaaa mpaka basi!
Tulisema humu ndani wakatutukana eti Lowassa rais tu! Tutake tusitake
 
Soko lake lipo wapi wadau wa biashara?

Vipi kwani? Au kwasababu umekosea kwenye speling umeweka double s. Yatauzika tu, we peleka kwenye mnada wowote wenye wamasai especial monduli uone kama hujarudi kuandaa nyingine kama hizo.
 
Nimechekaaaaaaaaaa mpaka basi!
Tulisema humu ndani wakatutukana eti Lowassa rais tu! Tutake tusitake

Mkuu umeona enh?! Kuna watu nilikuwa nawangojea tu hapa jamvini, 'Ooh!Lowassa chaguo la Mungu' Ooh! Yesu alisemwa na kutukanwa pia! Ooh! Kaombewa na Ma-sheikh, maaskofu, wachungaji! Eti ooh!Atakuwa rais ndani au nje ya CCM.

Walileta mchezo walisahau MUNGU hadhihakiwi!
 
Back
Top Bottom