habari;
Nahitaji matunda ya straeberry na cjui yanapatikana wapi, mim npo dar!! msaada tafadhali
habari;
Nahitaji matunda ya straeberry na sijui yanapatikana wapi, mim npo Dar!!
Msaada tafadhali..
hivi strawberries zinaitwaje kwa kiswahili..
hivi strawberries zinaitwaje kwa kiswahili..
na apple unajua kwa kiswahili? Nikutajie?
please taja hata mie sijui
Tufaa........................
Ni tufaha.....
Hapana my dia kawaida tu huyo ni kaka yetu diaspora mwenzetu napenda sana kutaniana nae . Vipi hali lakn ? Hope wazima wote .
Ok ...sie wazima sana tu sijui nyie
si wazima mpe hai my anko mwambie zawadi yake ipo nimetuma kwa KLM inakuja.
Yapo elfu kumi kwa kilo.......