Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

Kwa umri huo, ni vyema ukaanza pia kuwaza plan B ya kujiajiri. Badala ya kuendelea tu kuipambania ajira ambayo hata haijulikani itakuja lini!
All in all, pole sana. Nakutakia kila la heri kwenye safari yako ya maisha.

Ukifanikiwa kupata litakuwa ni jambo jema zaidi.
 
Hello,

Mimi ni kijana wa miaka 32, sex male,. nina elimu ya chuo kikuu (2013), nimezuguka sana maeneo tofauti kutafuta Ajira, lakin imekua ngumu sana kwakua nimekosa mtu wa kunishika mkono ili twende wote, tafadhali najua humu kuna waungwana na wacha Mungu kama mimi pia, ninaomba msaada wenu nipo tayari kufanya kazi mahali popote.

Pamoja na kazi ya aina yoyote isipokua kazi inayokwenda kinyume na imani yangu. ni kijana mwaminifu, mchapakazi na mwenye upendo kwa watu wote, nimesomea PROJECT PLANNING, MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT, Kutoka chuo kikuu cha UDOM, tafadhali nipigie namba 0752649436, Mungu atakubariki katika kila jambo lako na utafanikiwazaidi.
Unatafuta Kazi au unatafuta Ajira?
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
 
Ni kweli CV hajui kuiandika .CV yaweza mkosesha kazi uandishi mbovu sana

Anyway swali kwake kwa nini aliacha kazi serengeti breweries?
Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.
 
Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.
kama uko serious unahitaji kumsaidia mtu, utaweka effort yako kwenye kumsaidia, usiingie mtandaoni kujaribu kukejeli nani kafanya nini na nani anapitia nini, do not ask unnecessary questions.
 
Screenshot_20210315-222104_Samsung Internet.jpg


Acha ujinga, Kama hujui kuandika CV omba msaada usaidiwe

CV yako mbovu, una miaka 8 ika CV kama ya mtu anaemaliza chuo leo

Afu unanifata PM kuniambia pumba hizi
 
Back
Top Bottom