minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
Hivi inawezekana kweli mtoto aliyezaliwa katika familia iliyovuna mali nyingi kutokana na ccm kuwa madarakan akaichukia na kvamani iondoke madarakan, sidhan kama inawezekana maana kuendelea kuwepo kwa ccm madarakan ndio faida kwao, maana wanakula na
kusaza kutokana na uwepo wa ccm, ukikuta mwanaccm aliyevuna kutokana na ccm anaichukia ccm basi ujue ipo jambo hapo.
Watoto hawa wengi wao huwa hawana hata huruma kwa watz wenzao zaidi wamekuwa wakipigania kuwekwa ktk nafasi flan, kama babu yako, baba yako hakuwa hata mwenyekiti wa serikali ya ccm ni vigumu san kupata nafasi katika kichuguu hicho.