Ntaanzaje kuichukia CCM!!

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Hivi inawezekana kweli mtoto aliyezaliwa katika familia iliyovuna mali nyingi kutokana na ccm kuwa madarakan akaichukia na kvamani iondoke madarakan, sidhan kama inawezekana maana kuendelea kuwepo kwa ccm madarakan ndio faida kwao, maana wanakula na
kusaza kutokana na uwepo wa ccm, ukikuta mwanaccm aliyevuna kutokana na ccm anaichukia ccm basi ujue ipo jambo hapo.

Watoto hawa wengi wao huwa hawana hata huruma kwa watz wenzao zaidi wamekuwa wakipigania kuwekwa ktk nafasi flan, kama babu yako, baba yako hakuwa hata mwenyekiti wa serikali ya ccm ni vigumu san kupata nafasi katika kichuguu hicho.
 
hayo ni matusi kwa wazazi wako kwahiyo kwenu mkiwa mnakula mnashiba kwa chakula alichokuletea babayako na mama yako unawazarau wengine huna maana.
 
utafiti wangu humu JF unaonyesha kwamba watetezi wengi wa ccm kwenye jukwaa hili ni watoto wa viongozi , lakini cha kushangaza sasa , hakuna hata mtoto mmoja wa MJUMBE WA NYUMBA KUMI !
 
Siwezi kuichukia CCM hata siku moja ila masilahi kwa mlipa kodi lazima izingatiwe.
 
Kwa hiyo hata mzazi wako akizeeka unamchukia?

CCM haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.
 

CCM haidharauliwi kwa umri wake bali kwa tabia zake za kulea na kufuga kila aina ya madhalimu. wauza dawa za kulevya, majangili, mafisadi, majambazi,wabakaji, wang`oa kucha na meno, ongeza mwenyewe. Uzee wa ccm ni wa kukosa matunzo si vinginevyo.

Wee meno yako hayooooooo na kucha hizooooooo!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom