Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Hellooo wana JF..
Naomba mnijuze kwa mwenye taarifa kama NSSF wameshaita kwa ajili ya oral interview..
Naomba mnijuze kwa mwenye taarifa kama NSSF wameshaita kwa ajili ya oral interview..
nimepigiwa jana na leo, sijawaelewa pia.Mi mwenyewe wamenipigia kama dakika kumi zilizopita...wakaniuliza kama nilifanya ile aptitude....sijui wanataka nini aisee.
ila wadau sio masihara jamaa hawa wako makini sana kuliko sekta nyingine hapa nchini na wanajitahidi kutenda haki sio km walarushwa wa tra wanaita kimya kimya hawana muda mchafu wa kusikiliza complain za wa tz utafikiri nchi ni ya kwao peke yao, big up dr. Daubaadhi ya wa2 walicomplain kwamba interview ya kwanza walimiss coz walichelewa kupata taarifa na wengine hawakutumiwa kabisa sms, sasa nssf wameamua kuandaa tena aptitude kwa wale ambao hawakufanya interview bt walikuwa na interest. Kama ww ulifanya bt umepigiwa sasa dat meanz uliomba nafac zaidi ya 1, so kwny data zao kuna nafac unaoneka umemiss interview. So ni kwl wanawapigia wa2 na interview ni jmoc pale ifm, mchakato unazidi kurefushwa.. Ckilizieni 2
mheshimiwa kwa tukio lenyewe lilivyo inawabidi wafupishe muda otherwise the process will be so long, kwa mkoani safari ndefu zaidi haizidi siku moja kufika dar alie serious atafanya testIv hawa NSSF wanawazimu? mara ya kwanza walitoa notice ya muda mfupi watu wa mikoani wakashndwa kuhudhuria wakalalamika, kwa mujibu wao wameamua kutoa another test kuwapa chance ambao hawakuhudhuria, ajabu hiyo 2nd test yenyewe notice yake imetolewa jana na leo so ni siku mbili na moja kabla ya test yet they xpect watu wa mkoa watakuja sasa si wazimu huo