NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Status
Not open for further replies.
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

ushahidi wangu kwa meta Uzi huu:
inaweza kuwa kweli au la ila tambua kuwa no one will bother replaying your baseless accusations. njoo na figures here how many employees there? how many are Muslims and how many are non? how many applied for jobs in respective vacancies, how many were Muslims and how many were not? who got the chance with their religions in percentages? hapo utakuwa umeeleza kisomi and you'll make sound logic.
 
E bwana hizi habari ni za kweli kabisa, na huu ni mwongozo toka mamlaka za juu. Ni ngumu sn kupata kazi pale ikiwa si muislamu, hili mbona linajulikana wazi kabisa

Sio kweli aisee, kuna ofisi ya NSSF nimefanya field kuna muislam 1 tu, tena dereva, wengine wote hallelujah
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Unaishi mkoa gani?

Nenda NSSF kule Dar es salaam anza na 1st floor ukifika ile floor ya tatu dodoso lako litakuwa limejaa majina yakina yaheee. Ratio ktk ofisi zile ni {Yaheee:Other , 4:1 }

Dau na yule mama wanahusika hapa
 
mbona hamsemi crdb,ppf, tanesco na wizara zote mnaona nssf tu, nssf inawafanyakazi wangapi waislam na wangapi wakristo?
 
2011 walitangaza kazi zaisi ya 100, walioitwa kwa ajiri ya Interview walipewa namba ila walipofika chumba cha kupigia pepa (written) wakasisitizwa waandike MAJINA YAO..sasa zile namba walizopewa mara ya kwanza zilikua ni kwa ajiri ya nini?
Ijumaa office nzima imevaa sendoz, kanzu na baragashia.
vipi wana sifa au hawana sifa? mbona nyie necta mmegeuza kigango sisi hatuongei?
 
Habari. Natanguliza Shukran.

Binafsi sio kama kuna upendeleo wowote ule, ukizingatia waislamu walikua hawapewi nafasi zamani. Sasa wakianza kupewa kidogo watu wanaongea maana sio kawaida muislamu kuajiriwa, hilo linafahamika. Mfano mzuri, UDSM walijaa wakristo, sasa UDOM ilivoanza kuajiri waisalamu kidogo imekua skendo kuna udini.
Naombeni suala la udini tusiliingie. Sisi wote ni watanzania, kama watu wana vigezo, basi tusianzishe chuki zisizokua na msingi ndo maana hatuna maendeleo maana maisha yetu tunayapotezea kupika majungu.

Kwa haraka haraka, nimeangalia top management ya NSSF, Nimeona kuna Waislamu 17, wakristo 34. Yaani wakristo ni mara mbili ya waislamu. Sasa zamani ilikua unawaona waislamu tano hawafiki, asahivi wakipewa nafasi kidogo ishakua kero. lakini ukiangalia bado wakristo ni wengi kushinda waislamu. hii chuki inatokea wapi?
Muwaache watu wafanye kazi na tuache maneno ya vijiweni.

Hii hapa top management ya NSSF. naweza nikawa nimetereza popote natanguliza samahani.

NamesPostsMuslimChristian
Dr. R. K DauDirector General√
C. MagoriDirector, Operations √
L. MrossoDirector Finance √
Y. KidulaDirector, Planning Investment & Projects√
A. MasimangoDirector, Information Technology√
C. MatessaDirector, Human Resources & Admin √
P. MtundaChief Manager, Internal Audit √
C. KombaChief, Legal Secretary √
Ally O. ShumaChief, Security Manager√
S.W ShemliwaChief, Architerial & Risk Manager√
E. ChiumeChief, Public Relations & Customer Service √
D. SenkoroManager, Special Unit √
S. NgumaChief Manager, Temeke √
D. MasikaChief Manager, Kinondoni √
A. AbdallahAg. Procurement, Manager√
Y. KigembeChief Manager, Ilala √
F.H. MereviChief Manager Morogoro √
M. MwakatobeChief Manager Kilimanjaro √
E NgaboChief Manager Mwanza √
J. OchiengChief Manager Arusha √
A. BanigwaRegional Manager Tabora √
L. TairoRegional Manager Lindi√
M. AhmedRegional Manager Dodoma√
B. MmuniRegional Manager Iringa√
Y. MhamaliRegional Manager Coast√
M. MwaipetaRegional Manager Singida √
D. HawangwaRegional Manager Rukwa √
O.S MziaRegional Manager Kahama √
F. MadugaRegional Manager Tanga √
S. MvungiRegional Manager Mara √
S. MilanziRegional Manager Mtwara √
S. KitomariRegional Manager Manyara √
N. KironderaRegional Manager Geita √
N. NsasuRegional Manager Shinyanga √
T. MtuliraRegional Manager Ruvuma √
M. MaghekeRegional Manager Kagera √
J. MashingaRegional Manager Kigoma √
H. FakiiRegional Manager Mbeya√
Mr. A, MseliPlanning Investments Manager √
Mr. M. ShabaniComputer Operation Manager√
Mr. F. MasaoeSystems & Applications Manager √
Mr. D. KalanjeChief Accountant √
Mr. D. SenkoroManager, Special Unit √
Mr. D. MbweteHuman Resource Manager √
Mr. J. MsemoProject Manager √
Mr. B. KinundaProjects & Estates Manager√
Mr. A. FarajiTreasury Manager√
Mr. A. NchulaBenefits Administration Manager √
A. AbdallahAg. Procurement, Manager√
Mr. S. MwendaAdministration Supplies Manager√
Dr. A. MtuliaSocial Health Insurance Benefit√
1734
 
kama mnataka data halisi mtafuteni mkristu mmoja tu atawapa hizo data.nssf ni wadini kupitiliza,hii kitu anayotengeneza jk na dai itawagharimu hapo baadae
 
Suluhisho hapo nafikiri ni kwa nafasi zote hata za mashirika kupelekwa sekretariati ya ajira ili kuondoa migogoro hiyo. Ila watu wa aina fulani kuwa wengi haimaanishi kwamba wanaajiriwa kiupendeleo. Mi nafikiri ni imani tu imejengeka na pengine hata mtu mmoja tu aliwahi fanya hivyo basi inachukuliwa kama ndio sera ya hilo shirika.
Nakuunga mkono mkuu.. secretariat ya ajira ndo kiboko yao hainaga upendeleo
 
Propaganda tu, sifa huna, interview unachemsha badala ya kuongeza shule unakaa kulalamika…..! Haisaidii..
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Waliotufikisha hapa kwenye udini mnawafahamu.
 
sifa hawana,mmoja nimesoma nae chuo alipigwa mwaka na baada ya kumaliza alipata GPA 2.6 ila alipewa kazi wenye GPA KUANZIA 3..... walikosa
kama sifa hana hiyo GPA ni ya maandazi? mbona kwenye mahafali alitangazwa alitangazwa amefaulu? sema ukweli ulishindwa kwenye usahili jombaa
 
Wadau,
Kama tunavyofahamu Tanzania ni nchi isiyoongozwa kwa misingi ya dini fulani japokuwa wanaoutuongoza wana dini. Kwangu mimi naona ni jambo jema endapo hatutaangalia dini zetu ili tupate au kutoa huduma mbalimbali za kijamii. Ni hivi majuzi mfuko wa jamii ya watanzania wote NSSF imetangaza nafasi lukuki za kazi lakini zimo tuhuma ambazo zinatolewa na watu wanaodai ni wafanyakazi na wenginesio wafanyakazi kuwa NSSF kuna udini eti kama hauna 'sigda' haupati kazi au kama wewe si Abubakari au Hamisi haupati kazi. Tuhuma hizi ni mbaya na kubwa kwa mfuko unaoitwa wa jamii. Eti ili wakuajiri si kwamba umefaulu interview bali kwa majina na dini yako. Ni jambo linalohitaji ufafanuzi na ushahidi wa kutosha aidha kukubali au kukataa kuwa kuna udini au hakuna maana litaleta mpasuko kwa taifa. Moto wa dini ni rahisi kuuanzisha na kuuchochea lakini ni ngumu kuumaliza. Kesho tutaskia na PPF kuna 'UDINI' Keshokutwa tutaskia mahakamani kuna udini na mwisho itakuwa ni jeshi na ikulu kuna udini huku mamlaka zikiwa kimya.

Mkuu nenda shirika lenu la World Vission.
 
Ndugu watanzania kuna habari imepostiwa Leo kumpongeza DR Dau kiutendaji. Kuna watu mpaka wameshauri ateuliwe kuwa mbunge apewe wizara nyeti. Huu n ulaghai kwa umma. NSSF ya DR DAU imeghubikwa na udini. Ukiwa mkristu ni vigumu sana kupata kazi sasa Hivi NSSF. nna marafiki zangu ambao wamefanya field hapo. Wanadai staff members karibia wrote n waislamu. Mikoni kote salsa Hivi staff members wa NSSF imejaa waislamu tu. Hii ni hatari kwa taifa letu. Ukizingia sector nyeti ka hiyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom