NSSF Temeke

Habari ndugu?

Mwenye contacts za NSSF Temeke naomba ani PM na kama wewe uko hapo NSSF Temeke usisite kutoa msaada.

Asanteni wote.
 
kama una mpango wa kwenda kujiunga umekosea njia bora uenda mfuko mwingine hawa jamaa shida tu usumbufu sana kama uko kazi za kuacha na kuchukua chako
 
yyaani NSSF hapa MBEYA ikifika kwenye kuchukua chako wanasumbua sana mm nimeanza kufuatilia toka mwezi wa tatu mwaka huu, mpaka leo tarehe 10/07/2015 sijapata pesa yangu.
week iliyopita niliamua kuandika barua ili nilipwe hela iliyopo cha ajabu walishindwa kunipa hata karatasi, kama haitoshi mpaka leo napigwa chenga ya mwili.
Nikifanikiwa kuchukua hii pesa itakuwa ndio mwisho wa kujihusisha na shirika hili la hifadhi ya jamii. kifupi NIMEKOMA
 
kama una mpango wa kwenda kujiunga umekosea njia bora uenda mfuko mwingine hawa jamaa shida tu usumbufu sana kama uko kazi za kuacha na kuchukua chako

Daaah niko kwenye huo mfuko Ila mfuko wa kuchangia kwa hiari
 
Daaah niko kwenye huo mfuko Ila mfuko wa kuchangia kwa hiari
labda huko kwa hiari coz ni kama unaweka hela yako jaribu kuuliza kwa watu wanaotumia mfumo huo kama wanasumbuliwa ila kwa sisi tulioajiriwa NSSF mbovu kuliko mifuko yote.
 
Poleni sana, acha nianze kufanya hyo research ili ikiwezekana nitoke mapemaa
 
Back
Top Bottom