NSSF sio mfuko mzuri kujiunga kwa waajiriwa Wapya

Kwa ujumla hii mifuko inapokuja suala la mtu kudai mafao wanakuwa na sintofahamu na utadhani sio hela yako ilikatwa.

Haya ni mambo ya kitanzania na ndio utamaduni wetu kupokea zaidi kuliko kutoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI MIE HATA NAOGOPA NISEME KIPI, waliniandikia nirudi tarehe 31/07/2017 cha ajabu wamenipiga tena kalenda mpaka tarehe 25/09/2017.Kumbuka mtu unatoka Mwanza kwenda Dar, hapo haujaweka nauli na malazi?

Kwa kweli NSSF wanakera , HIVI NI MIUJIZA IPI ITOKEE ILI WATU WALIPWE HELA ZAO HATA ISIPITE HIZO MIEZI SITA.

Kwa nini mtu ameachishwa kazi tena aambiwe uje udai baada ya miezi 6 utafikiri alikopesha NSSF hela yake, wakati ji wajibu wa NSSF kulipa akiba ya mwanachama husika.

Duuu hatari sana, Hapa nilipo ni kuomba mwenyezi Mungu pengine roho Mtakatifu inaweza kufanya kazi tukalipwa maana kama ukitegemea maafao ya NSSF ndio ufungulie biashara au ulipe madeni basi ujue utakuwa umekwama.
 
Mimi nikiwa nafanya research yangu nilisumbuka kupata data, yani bila kutumia mbinu za kimafia nilikuwa naumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI MIE HATA NAOGOPA NISEME KIPI, waliniandikia nirudi tarehe 31/07/2017 cha ajabu wamenipiga tena kalenda mpaka tarehe 25/09/2017.Kumbuka mtu unatoka Mwanza kwenda Dar, hapo haujaweka nauli na malazi?

Kwa kweli NSSF wanakera , HIVI NI MIUJIZA IPI ITOKEE ILI WATU WALIPWE HELA ZAO HATA ISIPITE HIZO MIEZI SITA.

Kwa nini mtu ameachishwa kazi tena aambiwe uje udai baada ya miezi 6 utafikiri alikopesha NSSF hela yake, wakati ji wajibu wa NSSF kulipa akiba ya mwanachama husika.

Duuu hatari sana, Hapa nilipo ni kuomba mwenyezi Mungu pengine roho Mtakatifu inaweza kufanya kazi tukalipwa maana kama ukitegemea maafao ya NSSF ndio ufungulie biashara au ulipe madeni basi ujue utakuwa umekwama.
Hebu mkuu thibitisha unalipwa kama ukiwa kazini wameku terminate au wamekupunguza au tu ukiacha kazi voluntarily?
 
hivi kwani kujiunga na hiyo mifuko ya hifafhi ya jamii no lazima au uamuzi wako muajiriwa?
 
NSSF ni zaidi ya JANGA, kuna waajiri hawawasilishi michango yao na watumishi wa mfuko wakienda wanapewa kitu kidogo na kuondoka! Siku unastaafu au kuacha kazi unakuta akaunti yako inasoma 0.00 balance
 
Acha uchochezi hakuna mfuko unaoweza kufanya hivyo yawezekana mwajiri mwenyewe ndo alikula njama na mtumishi ndani ya NSSF kwa kuficha SSRA iko macho na ikijulikana na ushahidi ukiwepo ni mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom