jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
Nimesoma Gazeti la leo la Gurdian na Mwananchi.. Kwenye front Page,,, hii hi taarifa njema ila wasiwasi wangu ni kwamba.. Wanachana wameridhia kutumia pesa zao kwa ajili ya kujenga kiwanda?
Hii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwaHere we go again...
hiyo mifuko sasa ni kama mali ya serikali
ni kama imepewa 'amri' ya kuwekeza huko..
ikitokea hasara hakuna anaetaka kusema now what next
na akija Rais mwingine akipiga marufuku je?
why hiyo mifuko isiwepo policy moja ya kuiendesha bila kujali nani Rais?
Nimesoma Gazeti la leo la Gurdian na Mwananchi.. Kwenye front Page,,, hii hi taarifa njema ila wasiwasi wangu ni kwamba.. Wanachana wameridhia kutumia pesa zao kwa ajili ya kujenga kiwanda?
Ni ubabe kwenda mbeleHii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwa
Kwani kila jambo lazima uchangie. Siuchangie unachojua kwa maana hapa kama umejichora vile. Uwezo wako wa kuelewa naona kama unamatatizo. Mi nakushauri kasome sheria za kuanzisha mifuko ya jamii ujue ina majukumu gani, muundo wa uongozi unapatikanaje, taratibu za kuwekeza na mengineyo. Fanyeni hata kautafiti kadogo tu mtaelewa na kuchangia pointi za msingi.Hii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwa
Wanachama tuusishwe na tujue tunfaidikaje na fedha zetu. Lazima tupewe shares. Chama cha wafanyakazi wako wapi waliweke hili sawaMifuko ya jamii inayoongoza kwa wizi na mlolongo mrefu wa kupata mafao hapa tz....hii inaongoza...