NSSF & PPF kutumia pesa za wanachama kujenga kiwanda cha sukari

jakarason1974

Senior Member
Apr 3, 2012
103
50
Nimesoma Gazeti la leo la Gurdian na Mwananchi.. Kwenye front Page,,, hii hi taarifa njema ila wasiwasi wangu ni kwamba.. Wanachana wameridhia kutumia pesa zao kwa ajili ya kujenga kiwanda?
 
Here we go again...

hiyo mifuko sasa ni kama mali ya serikali
ni kama imepewa 'amri' ya kuwekeza huko..
ikitokea hasara hakuna anaetaka kusema now what next

na akija Rais mwingine akipiga marufuku je?
why hiyo mifuko isiwepo policy moja ya kuiendesha bila kujali nani Rais?
 
Hii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwa
 
Hapa kuna mashamba na kiwanda, sasa kama walishindwa ku forecast na kusimamia Machinga complex hivi wataviweza!? Kama ni maendeleo basi wakopesheni wenye pesa zao (wanachama) wajiendeleze wenyewe!
 
Mifuko ya jamii inayoongoza kwa wizi na mlolongo mrefu wa kupata mafao hapa tz....hii inaongoza...
 
Nimesoma Gazeti la leo la Gurdian na Mwananchi.. Kwenye front Page,,, hii hi taarifa njema ila wasiwasi wangu ni kwamba.. Wanachana wameridhia kutumia pesa zao kwa ajili ya kujenga kiwanda?

walipokuwa wanajenga makalavati na miradi mingine ya rushwa ulijoji juu ya ushirikishwaji wa wanacham?
 
Hii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwa
Ni ubabe kwenda mbele
 
Kwangu Mimi naona huu ni ukatiri wa kutisha tunaotendewa wafanyakazi. Pesa zetu jamani zaibwaaaa. Mwizi huyoooo. Mungu anaona wasubiri nguvu yake. Inauma sana hakuna ushirikishwaji.
 
Hii ni michango ya wanachama ambao serikali sio mwanachama,,, Ila ndio wamekuwa wana teua wakurugenzi na vile serekali ndio wanatumia hela hii bila kibali cha wanachama..... Wakati wanachama kupata Mafao yao ni shida tu.....sasa wanatumia pesa za wanachana kisiasa,,,,,, bila hata wanachama kuambiwa
Kwani kila jambo lazima uchangie. Siuchangie unachojua kwa maana hapa kama umejichora vile. Uwezo wako wa kuelewa naona kama unamatatizo. Mi nakushauri kasome sheria za kuanzisha mifuko ya jamii ujue ina majukumu gani, muundo wa uongozi unapatikanaje, taratibu za kuwekeza na mengineyo. Fanyeni hata kautafiti kadogo tu mtaelewa na kuchangia pointi za msingi.
 
Hizi ni very high risk investments. Kuna suala la mashamba ya miwa kuvamiwa na wafugaji wa kimasai kama wiki iliyopita kule Mtibwa, kuna ukame kukausha mashamba ya miwa, kuna ushindani wa kibiashara na kuzalisha kwa hasara nk nk

Nyerere alijenga viwanda vyote CCM imewapa wawekezaji, sasa tunaanza kujenga viwanda kwa kutumia Michango ya wafanyakazi, tena viwanda vya umma ambavyo wanaoviongoza faida sio priority, wao wanalinda ajira tu
 
Back
Top Bottom